Kuna muowaji anapiga bao 5 mchumba?*Hivi hawa al-ahly wamekuja kuoa kweli au wanataka kumchezea tu binti yetu?*
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahed kabisa*Hivi hawa al-ahly wamekuja kuoa kweli au wanataka kumchezea tu binti yetu?*
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu anakuona walah!
Hakunaga siasa kule, ni upigaji tu!Kwangu mimi Simba na Yanga hazijawahi kuwa na hadhi ya kuitwa Klabu za mpira wa miguu au Klabu za michezo (football club/sports club), siasa imewekezwa sana kwenye hizi timu mbili, zina mamilioni ya mashabiki na zinakaribia kufika karne lakini zimeshindwa kuwekeza kwenye mpira/michezo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba na Yanga ni timu za wananchi, ni za serikali ukiona mdhamini kwenye hizi timu mbili ujue ni mpiga madili machafu. Kutembeza bakuli ndiyo hadhi yao. Wewe usiache kumuombea mo kila siku unapokuwa kwenye nyumba ya ibada na muda mfupi kabla ya kuanza starehe ya kujaamiana. Maana wewe unapenda starehe lakini hupendi kuigharamia.TANGAZO
Tunawaomba YANGA msije mkapitisha bakuli lenu Leo katika mchezo huu, tukaliingiza taifa kwenye aibu kubwa maana mchezo huu unaonyeshwa Africa nzima kupitia supersport.
ASANTENI
Sent using Jamii Forums mobile app