Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

Mapro kibao watanzania 3 tu ndo maana rank ya FIFA tunaendelea kushuka ,kila la heri mnyama wauwe hao waarabu mi Yanga ila najua mnashinda leo
 
Simba- Al Ahaly uwanja wa mchina, wachezaji 8(73%) watakaoanza mechi ni wageni (Zana, Kwasi, Murshid, Wawa, Kotei, Chama, Kagere, Okwi) na 2(23%) ya watakaoanzia benchi ni wageni. Hii inamaana kuwa ni watanzania 3 tu (Manula, Mkude na Bocco) ndio wanaoaminiwa na Kocha. Huu ni msiba mkubwa kwa taifa stars, tff na watanzania kwa ujumla wake. Maana yake watanzania pale Simba ni malonyalonya tu.

Simba ni ya watanzania au watanzania wako Simba?

Tanzania tunaipeleka wapi? TFF ni lazima ijiuzulu vinginevyo Tanzania tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu
 
Simba siyo ya watanzania. Hata Yanga siyo ya watanzania.
Kwani Chelsea ni ya waingereza au ina makao makuu uingereza lakini ina washabiki dunia nzima?
 
*Hivi hawa al-ahly wamekuja kuoa kweli au wanataka kumchezea tu binti yetu?*


Sent using Jamii Forums mobile app
Wahed kabisa
DzEFblvWsAA2mx1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mimi Simba na Yanga hazijawahi kuwa na hadhi ya kuitwa Klabu za mpira wa miguu au Klabu za michezo (football club/sports club), siasa imewekezwa sana kwenye hizi timu mbili, zina mamilioni ya mashabiki na zinakaribia kufika karne lakini zimeshindwa kuwekeza kwenye mpira/michezo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mimi Simba na Yanga hazijawahi kuwa na hadhi ya kuitwa Klabu za mpira wa miguu au Klabu za michezo (football club/sports club), siasa imewekezwa sana kwenye hizi timu mbili, zina mamilioni ya mashabiki na zinakaribia kufika karne lakini zimeshindwa kuwekeza kwenye mpira/michezo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakunaga siasa kule, ni upigaji tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANGAZO
Tunawaomba YANGA msije mkapitisha bakuli lenu Leo katika mchezo huu, tukaliingiza taifa kwenye aibu kubwa maana mchezo huu unaonyeshwa Africa nzima kupitia supersport.
ASANTENI

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba na Yanga ni timu za wananchi, ni za serikali ukiona mdhamini kwenye hizi timu mbili ujue ni mpiga madili machafu. Kutembeza bakuli ndiyo hadhi yao. Wewe usiache kumuombea mo kila siku unapokuwa kwenye nyumba ya ibada na muda mfupi kabla ya kuanza starehe ya kujaamiana. Maana wewe unapenda starehe lakini hupendi kuigharamia.
 
Back
Top Bottom