Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

Kwa nini Mtani wakati nasikia mnadai points 6 toka kwa El Merekh ni zenu.
hayo ndo matarijio ya wanaSimba walio wengi ila mchezo una matokeo tofauti na matarajio unayoyategemea.
inshallah tupate point 12 kwa hawa tulionao karibu hapa na nchi yetu
 
Kila la Kheri Mzee Wa Lunyasi mnyama wa pekee wa mwituni anaetafuna ndala na ice cream
 
Kwa mujibu wa Babu a.k.a mnajimu mkuu bingwa Africa mashariki na kati,anasema Simba 2-As Vita 1.
Mechi hii kuna timu itapata penat.
Hii ni kwamujibu wa Babu.
 
As vita sio ile iliotupiga 5, Simba tumeimarika sasa
ukiondoa kuimalika....Simba ya mwaka huu imebadirika sana tofauti na ile ya mwanzo wa ligi,Msimu huu Simba anaingia kivingine
 
IMG_3138.jpg

Wale tulio na Canal tukutane saa 22:00
 
Back
Top Bottom