Kkkt usharika wa sinza kuna nini katika ujenzi

Kkkt usharika wa sinza kuna nini katika ujenzi

For your information mchungaji na mzee mmoja wa kanisa ni wadau wakubwa huku. Dont forget mchungaji wa Sinza ni graduate kwa hiyo huwa anaingia humu kupata info mbalimbali kwa ajili ya ibada.
....................................................serious!!!??? This is JF kwakweli
 
Washarika wa KKKT Sinza karibuni KKKT Kimara muone moto wa Ujenzi unavyopamba hekalu la Bwana.Mipango kede kede ilosheheni umahiri wa taaluma nk
 
Jamani washarika wa Sinza,
hivi unajua huyu Mchungaji wetu amekaa pale kwa miaka 6 sasa? Yaani kashajenga mazoea.

halafu yule mwenyekiti wa kamati ya ujenzi amekuwa na same position kwa zaidi ya miaka 8.

hawa waili wakiondolewa kazi itaenda.

Mimi nimeshaacha kuchangia jengo. Nakumbuka wakati tunaanzisha kanisa 14 years ago tulinunua jengo na plot kwa mkopo wa 50 milion na tukalipa within two years.

Mi nafikiri lazima mwaka huu tuanzishe kasheshe pale wakati wa hesabu za mwaka.
hapana wewe ni muongo, tena muonga hasa.
Mchungaji aliekuwapo usharika wa Sinza alihaishiwa Usharika wa ukonga miaka mitatu iliopita, na kanisa lile la Sinza [KKKT] wakapatiwa Mchungaji mwingine.
kwa uelewa wangu makanisa ya Kilutheri yooote yana utaratibu wakusoma mapato na matumizi ya kila juma, ya kila robo mwaka , na mapato ya mwaka....kazi za maendeleo zoote huchambuliwa kila hatua.
nijuacho , ujenzi wa makanisa ya KKKT katika miongo mitatu sasa unaendeshwa na waumini wenyewe, hakuna misaada kutoka nnje.
waumini WaTz, ni waumini masikini [wengi wao] , kweli wamekuwa wakijitoa, ila kuna wakati ujenzi unafikiea hatua ngumu.
sasa kanisa la Sinza limefikia kwenye hatua ngumu, hatua ngumu ya kumalizia-finishing....taratibu watamaliza.
TUEPUKE UONGO NA MAJUNGU.
 
Kusubiri majibu ya kutoka kwa mchungaji tutakuwa tunapoteza muda. Wewe kama ni msharika wa Sinza unajua kuwa update huwa zinasomwa wakati wa misa.Unaweza kuhoji pale? Si utaonekana unavuruga misa? Hasa ukitilia maanani misa ya yule mchungaji inavyoboaga.
MIMI NIMESALI PALE , MWISHO WA MWAKA HUWA TUNAKAA NA KUJADILI MAPATO NA MATUMIZI , TUNAJADILI MPAKA MSHAHARA WA MLINZI....acha longolongo
 
I am very sure of what i am saying. For the past six years nimkuwa kila jumapili nahudumiwa na mchungaji yuleyule. Anaitwa mchungaji Tuheri. Sidhani wewe kumbukumbu zako ni sahihi na sina uhakika kama ni msharika wa sinza.

Usharika wa sinza umepata kuwa na wachungaji 3. mchungaji Heri Mwakabonga (kwa miaka 3) akaja mwingine halafu huyu wa sasa (ambaye pia alikuja pale Sinza wakati huo wa mwakabonga kama mchungaji mwanafunzi).

hapana wewe ni muongo, tena muonga hasa.
Mchungaji aliekuwapo usharika wa Sinza alihaishiwa Usharika wa ukonga miaka mitatu iliopita, na kanisa lile la Sinza [KKKT] wakapatiwa Mchungaji mwingine.
kwa uelewa wangu makanisa ya Kilutheri yooote yana utaratibu wakusoma mapato na matumizi ya kila juma, ya kila robo mwaka , na mapato ya mwaka....kazi za maendeleo zoote huchambuliwa kila hatua.
nijuacho , ujenzi wa makanisa ya KKKT katika miongo mitatu sasa unaendeshwa na waumini wenyewe, hakuna misaada kutoka nnje.
waumini WaTz, ni waumini masikini [wengi wao] , kweli wamekuwa wakijitoa, ila kuna wakati ujenzi unafikiea hatua ngumu.
sasa kanisa la Sinza limefikia kwenye hatua ngumu, hatua ngumu ya kumalizia-finishing....taratibu watamaliza.
TUEPUKE UONGO NA MAJUNGU.
 
ni uvivu wa viongozi wahusika, wamezubaaa sana hata uchangamfu wa kawaida tu haupo, ukizingatia no one ask basi tupo tuu kama wendawazimu, ninao uhakika zipo zaidi ya 100M cash kuendelea na phase ingine, but inapelekwa as if mtu anajenga kagheto kake kwa hela ya mshahara!
 
MIMI NIMESALI PALE , MWISHO WA MWAKA HUWA TUNAKAA NA KUJADILI MAPATO NA MATUMIZI , TUNAJADILI MPAKA MSHAHARA WA MLINZI....acha longolongo

Taarifa ya mapato na matumizi unapewa wakati misa inaisha unaingia kwenye mkutano mkuu wa kujadili mapato na matumizi unapata wapi nafasi ya kuuliza?

Unaonyesha kuwa wewe huingii kwenye ile mikutano unasubiri taarifa. Sisi tuliounda ule usharika (for your info i am one of the 25 founding members wa usharika - Enzi za Mashujaa Shule ya msingi) so i have more affiliations na lile kanisa kuliko watu wengi pale.
 
Washarika wa KKKT Sinza karibuni KKKT Kimara muone moto wa Ujenzi unavyopamba hekalu la Bwana.Mipango kede kede ilosheheni umahiri wa taaluma nk
Cha muhimu pia hapa tukumbuke kuwa si vyema sana kuanza kufananisha sharika labda kwa suala la kamati za ujenzi kwenda kujifunza na kujua jinsi wengine walivyofanya ili kusonga mbele. Maana tukianza kufananisha na Kimara, Mbezi Beach, Kunduchi, Wazo Hill, Azania, Ubungo, Kijitonyama, Mbez Louis na kwingineko itakuwa ni kubatilisha kazi za sharika nyingine wakati kuna utofauti mkubwa wa washarika na jinsi wanavyojitoa katika kazi za BWANA. Tujifunze zaidi kuliko kufarakana na kuitana majina kama muongo, mnafiki, mfitini kwani shetani anajiinua katika maneno na mafarakano haya mwisho wa siku tunajikuta tumetengana na kuanza kupigana wenyewe kwa wenyewe
 
ni uvivu wa viongozi wahusika, wamezubaaa sana hata uchangamfu wa kawaida tu haupo, ukizingatia no one ask basi tupo tuu kama wendawazimu, ninao uhakika zipo zaidi ya 100M cash kuendelea na phase ingine, but inapelekwa as if mtu anajenga kagheto kake kwa hela ya mshahara!

At least wewe una proper information. na sisi tuliwashauri sana wakati wanavunja lile jengo la mwanzo kuwa it was not very proper maana kanisa kujenga si kazi ndogo.
 
I am very sure of what i am saying. For the past six years nimkuwa kila jumapili nahudumiwa na mchungaji yuleyule. Anaitwa mchungaji Tuheri. Sidhani wewe kumbukumbu zako ni sahihi na sina uhakika kama ni msharika wa sinza.

Usharika wa sinza umepata kuwa na wachungaji 3. mchungaji Heri Mwakabonga (kwa miaka 3) akaja mwingine halafu huyu wa sasa (ambaye pia alikuja pale Sinza wakati huo wa mwakabonga kama mchungaji mwanafunzi).
Sikiliza aliekuwapo pale Sinza miaka mitatu iliopita anaitwa MCH. ANDREW KING'OMELA, huyu kwa wanaokumbuka alikuwapo pale Sinza wakati wa lile sakata la kugombea maiti pale kanisani kati ya Waumini wakiislamu na Waumini Wakikristo, ni King,omela alietatua tatizo lile.
bado nakuambia huna taarifa sahihi, kwasababu kama unania njema ungetoa hoja katika vikao halali ama huna mzee wa kanisa ambae atafikisha kilio chako.
Futa kauli kuwa mchungaji amekaa pale miaka sita , ni ulongo.
 
Thanks Nguvumali, kwa kuongezea tu mimi ni muumini wa pale, kweli huwa tunatangaziwa update ya ujenzi mara kwa mara lakini mtu yeyote akitaka kujua tumefikia wapi anakaribishwa kufika ofisini kwa mchungaji kupewa updates zote.

Mtoa mada ni mvivu - Cha kufanya kabla ya kuileta jamvini hii thread angefika pale KKKT - usharikani akutane na mchungaji wetu - ana ufahamu mzuri sana - angepewa information zote za ujenzi - then alete hapa jamvini tuzichambue.

kwa sasa hatuwezi kujadili hili jambo sababu hatuna upande wa pili - yaani information from KKKT - Usharikani juu ya ujenzi huu.

Mkuu, miradi ya vikundi kama hiyo, hakuna haja ya mtu kwenda ofisini kugonga gonga kila wakati mnachatakiwa kufanya;

1. wekeni model ya schedule upande fulani kanisani kil mu awe anaweza kuiona
2. kwenye hiyo schedule mnaweka na pesa mliyotumia mpaka wakati huyo
3. Kuna kunakuwa na update pembeni, ya nini kinasababisha delay

kama kanisa lina watu 2000 kila mmoja akagonga kuuliza huyo mchungaji atakuwa mtu?
Hivi ndio inavyotakiwa kufanyika; na baadhi ya makanisa wanafanya hivyo.
 
Taarifa ya mapato na matumizi unapewa wakati misa inaisha unaingia kwenye mkutano mkuu wa kujadili mapato na matumizi unapata wapi nafasi ya kuuliza?

Unaonyesha kuwa wewe huingii kwenye ile mikutano unasubiri taarifa. Sisi tuliounda ule usharika (for your info i am one of the 25 founding members wa usharika - Enzi za Mashujaa Shule ya msingi) so i have more affiliations na lile kanisa kuliko watu wengi pale.
aaaah hayo ndio yanayo watafuna kwamba nyie kuanzisha usharika mnataka muendelee kufaidi , taratibu za kanisa ziko waaazi kabisa......hii ni taasisi si mali ya mtu binafsi, aaah utoto.
unaweza kuwa TZ Ukapewa taarifa ya kiti cha nyumbani Tz na mtu alioka N.Y USA.
 
For your information mchungaji na mzee mmoja wa kanisa ni wadau wakubwa huku. Dont forget mchungaji wa Sinza ni graduate kwa hiyo huwa anaingia humu kupata info mbalimbali kwa ajili ya ibada.

Hii nayo kali kama mchungaji anatafuta info kwa ajili ya ibada humu na siyo kwa Roho Mtakatifu!!!!!?
 
Rais wa Uganda katika kitabu chake cha Sowing the Mustard Seed, anasema siku hizi haendi kanisani kwa sababu kuna siku akiwa kwenye misa na mchungaji anaendelea na mahubiri basi akanyoosha mkono kuuliza swali..akashangaa anaambiwa akae chini. Yeye hapo kabla hakuwa mhudhuriaji mzuri wa kanisani hivyo hakujua hizo taratibu.Baadae akaja kujua kuwa huwezi kuuliza swali kanisani wakati wa mahubiri.Toka siku hiyo akaacha kwenda kanisani.
 
Rais wa Uganda katika kitabu chake cha Sowing the Mustard Seed,
anasema siku hizi haendi kanisani kwa sababu kuna siku akiwa kwenye misa na mchungaji anaendelea na mahubiri basi akanyoosha mkono kuuliza swali..akashangaa anaambiwa akae chini
. Yeye hapo kabla hakuwa mhudhuriaji mzuri wa kanisani hivyo hakujua hizo taratibu.Baadae akaja kujua kuwa huwezi kuuliza swali kanisani wakati wa mahubiri.Toka siku hiyo akaacha kwenda kanisani.
sasa wewe ulidhani kanisani ama hata msikitini ni seminar room, ama ni tutorial class...pole.
ibada sio wakati wavurugu, ni wakati wakuwa karibu na Mungu wako......pole kwa fikra zako mwenyewe
 
Hii nayo kali kama mchungaji anatafuta info kwa ajili ya ibada humu na siyo kwa Roho Mtakatifu!!!!!?
Binti Sayuni - si yote humu JF unatakiwa kuyachukua - wapi na wapi mchungani ikatafuta materials ya ibada kwenye JF? anaweza kuingia JF kama sisi wengine - just kuona kipi cha maana chochote cha kijamii aperusi - lakini si kwa ajili ya ibada.

Wengi wanaandika info za usharika wa sinza wakati hata hawajui what is the current status ya usharika huu - ndiyo maana tunapata info ambazo hazina uhakika - old-dated
 
....................................................serious!!!??? This is JF kwakweli

ha ha ha acha tu Mkuu, ingekuwa Jumatatu asubuhi ningeelewa........
 
Kama unauhakika na unayosema kawaulize watu wafuatao ambao ndio pekee wenye majibu sahihi ya kwa nini ujenzi hauendelei wakati fedha zipo.

1. Mchungaji wa usharika wa kkkt sinza
2. Mwinjisti wa usharika wa kkkt sinza
3. Wazee wa usharika wa kkkt sinza

naamini hutapata majibu /maelezo sahihi humu kwenye jf
 
Kuna ujenzi unaendelea katika kanisa hili ila tatizo kubwa limekuwa ujenzi umekuwa hauendi katika speed inayotakiwa japokuwa hela ya kutosha ipo ya kazi kuendelea

Ujenzi umesimama kwa muda sasa na hatua hata ya kuweka madirisha haiendelei tena na uongozi wa kanisa hausemi lolote.

HELA ZIPO, UJENZI HAUENDELEI, UONGOZI WA KANISA HAUSEMI LOLOTE, KULIKONI?

ahahahahaha...wewe mtoa mada na ndugu buguruni munatatizo la kutoelewa nani ni muhusika wapi na nani akujibu swali lako

...ujenzi umekuwa hauendi katika speed inayotakiwa..speed inatakiwa na nani?? work programme inasemaje?..nani anatoa workprogramme kati ya wazee wa kanisa, waumini au mkandarasi?

...hela ya kutosha ipo ya kazi kuendelea....wewe ni mwanakamati ya ujenzi mpaka ujue hela ipo ya kutosha?..kutosha kujenga nini?...hicho kinachojengwa kipo nchini au kimeagizwa nje ya nchi na mkandarasi??...

Ujenzi umesimama kwa muda sasa na hatua hata ya kuweka madirisha haiendelei .....muda gani ujenzi umesimama?..workprogramme inasemaje?..mobilisation period ya mkandarasi ni muda gani...au unadhani ukishakuwa na pesa leo kesho ujenzi unaanza...style hiyo ni ya kujenga nyumba zetu za tandale na manzese

....na uongozi wa kanisa hausemi lolote......wewe ulitaka uongozi wa kanisa useme nini?..kwann hukuwauliza baada ya ibada ya jpili ilopita...au hakuna ubao wa matangazo ukasoma ripoti za maendeleo ya ujenzi wa kanisa....kuja kusemelea hapa JF ndio umepata jibu toka kwa viongozi?...acha unafiki na kuwa chanzo cha chokochoko na ugomvi usio na msingi katika usharika wetu.....jaribu pia kuulizia wataalamu wa mambo ya ujenzi na mikataba watakujibu ki-taalamu zaidi

..NI MAONI TUU
 
Kama unauhakika na unayosema kawaulize watu wafuatao ambao ndio pekee wenye majibu sahihi ya kwa nini ujenzi hauendelei wakati fedha zipo.

1. Mchungaji wa usharika wa kkkt sinza
2. Mwinjisti wa usharika wa kkkt sinza
3. Wazee wa usharika wa kkkt sinza

naamini hutapata majibu /maelezo sahihi humu kwenye jf
nakuunga mkono,

kunaweza kua na matatizo ya hapa na pale, lakini si

kama baadhi ya wadau humu wanavyotaka

kutuaminisha.
 
Back
Top Bottom