Kuna misa ya kiswahili na kiingereza. Muumini unachagua inayokufaa. Na tukumbuke kuwa Tanzania hatuishi watanzania peke yetu, tuna wageni ambao wangependelea zaidi misa ya Kiingereza.Sasa makabwela watasali Wapi!
Umejibu vizuri sana. Naongezea tu kuwa Kiingereza ni lugha ya taifa kama kiswahili. Ndio maana sheria zinaandikwa kwa lugha zote mbili.... kama ibada ya Kiingereza inakukwaza, hudhuria za Kiswahili acha kulalamika. Baadhi ya makanisha ya kikatoliki walikuwa na utaratibu wa ibada za Kilatini siku za nyuma sina hakika siku hizi kuna makanisa bado yanazo...
Ondoa huu ujingaHivi kuna watu bado huwa mnaenda nyumba za ibada?
Urudieni Uafrika na tamaduni zake
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Fursa ipi sasa kwenye Ibada ya kiinglishKamanda siku hizi DINI ni biashara kubwa ....hapo wajanja wameshaona fursa
Tatizo wahitaji wa huduma hiyo ni wachache kwa hivyo wasilete usumbufu kwa kuipanga saa 4.00 muda kwa waomini wengi kwenda kuabudu siku ya jumapili.... kama ibada ya Kiingereza inakukwaza, hudhuria za Kiswahili acha kulalamika. Baadhi ya makanisha ya kikatoliki walikuwa na utaratibu wa ibada za Kilatini siku za nyuma sina hakika siku hizi kuna makanisa bado yanazo. Pia baadhi ya makanisa hususan ya mijini yana utaratibu wa baadhi ya ibada kuendeshwa kwa Kiingereza ili ku-accommodate wale wasiojua Kiswahili ni kawaida sana.
Huku kwetu masaini, KKKT huendesha baadhi ya ibada kwa Kimasai ili ku-accommodate wale wasiojua Kiswahili nayo ni kawaida sana tuache kulala
Bwashee sali misa ya kwanza.Wakati taifa lina lengo la kuimarisha matumizi ya lugha yetu kwenye nyanja zote ikiwa ni pamoja na elimu wapinzani wa taifa kujikomboa kwenye ukoloni wa lugha na utamaduni wa kigeni wanajibu mapigo kupitia makanisa...
Umejuaje kuwa ni wachache?Tatizo wahitaji wa huduma hiyo ni wachache kwa hivyo wasilete usumbufu kwa kuipanga saa 4.00 muda kwa waomini wengi kwenda kuabudu siku ya jumapili.