dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,956
- 9,482
Ongeza Volume Kiongozi
Hao vijana wawili wa kimara na kijitonyama wana kiburi hatari, wanajiona wao ndo KKKT, ni wajasilia dini kama wengine tu.
Huyu wa kijitonyama amehongwa na magufuli, akibisha tutamwekea miamala yake ya hongo.
Ndo atajua kuna watz makini kuliko hata kigogo 2014