KKKT haya mahubiri ya Upendo Tv kuhusu siasa ni msimamo wa kanisa au wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani?

Sina budi kumshukuru Mungu kwa kile kidogo ulichochangishana, leo Tuna TV ya kanisa inayomhubiri Kristo ktk maeneo mengi ya Tz na Duniani!

Bila kuwa mnafiki nimeshtushwa na mienendo ya mahubiri yanayorushwa live pale yanapogusia SIASA!

Iliianza Jumapili iliyopita Mch.Masai alipowalaani wote, aliwaita wachache wanaompinga Rais Magufuli.

Leo ibada ya jioni Mch wa Kijitonyama ameliambia Taifa, kuwa Kuna kabila moja tu lenye roho ya maendeleo nalo ni wachaga!...na kwa kuwa Rais Magufuli analeta maendeleo Basi yeye ni damudamu na Wachaga...na ile minong’ono kuwa JPManawsbagua Wachaga SI kweli!

Ameendelea kubainisha kuwa Wachaga hawapendi SIASA na ukiona Mchaga yupo kwenye Siasa huyo anazuga!?

Jana asubuhi ktk mahubiri yake alisema kuwa Kanisa lilifunga ili Tz ipate Rais mpenda haki na Mungu alijibu maombi ya Kanisa!

Akahitimisha kuwa wanaolia maisha magumu ni wale waliokuws wanaishi kwa wizi!

Nimejiuluza maswali mengi Sana:
Je, Kama KKKT wanajua ibada hizo zinaonekana nchi nzima, wamekubali pia maudhui ya Hawa wachungaji yaenee nchi nzima?!

Je, huu ni MSIMAMO wa Kanisa, DAYOSISI ya MASHARIKI au ni mawazo yao Hawa ndugu!

Kama Kanisa mnawaweka fungu gani waumini wenu?

Mch Kimaro anaposema tukiwaona Wachaga kwenye Siasa tujue wanazuga, wanazuga ili iweje? Wanatafuta Nini kwenye hayo aliyoita MAIGIZO!!?

USHAURI WA BURE:
KKKT KUWENI MAKINI NA MASUALA HAYA MNAYOONANI MADOGO.

..KAMA MCH. KIMARO NA MATSAI NDIO MNAONA WANAIBRAND KIROHO KKKT, BASI WAFUNGENI GAVANA YA KIBURI

...HIVI NI LAZIMA KUWAPA AIRTIME KIJITONYAMA PEKEE KWENYE MAHUBIRI, MBONA KUNA WACHUNGAJI WENGI WANAOJUA KUHIBIRI NA KUFUNDISHA?

...JITAHIDINI MSITENGENEZE MANABII NA MITUME NDANI YA KKKT MTAJUTA!
KWA TAARIFA YENU

...TULIOCHANGIA UPENDOTV.
...Ndio sisi ndugu na jamaa wa akina Tundu Lissu, Ben Saanane na wengine!

..ni sisi watumishi wa serikali ambao hatujapandishiwa mishahara kwa miaka minne,

...NI sisi ambao tunamkosoa Rais tunapoona anatenda ndivyo sio '!

...Sisi mliotufundisha haki huinua Taifa.

SAMAHANI KWA UANDISHI, NINA JAKA MOYO LA KIROHO!
Mahubiri yanatokana na maelekezo ya Malasusa hayo...kumbuka Malasusa ni Wakala wa Himaya ya Kihutu!
 
Mbona hamuwaambie watawala wasiue watu, je kuuwa watu si ni dhambi kubwa??
Kanisa kazi yake si kuhubiri watu waache dhambi bila kujali wao ni nani??
Acheni unafiki kanisa la watu wote acheni siasa za kijinga hubirini neno la Mungu!! Dictator
Hitler alifanya maendeleo lakini alimwaga damu nyingi za watu.
Msiwe wanafiki simama na neno!!
 
Yule wa kimara ndo hopeless kabisa , eti juzi alimwalika Tulia, ambaye amefanya tambiko kule mbeya LA kuizika chadema.

Hawa vijana wasipotubu mwisho wao mbaya unakuja kwa kasi
Huna lolote..punguza uongo..kigogo amewashika wajinga wajinga na vijihabari vyake visivyo na evidence
 
Sina budi kumshukuru Mungu kwa kile kidogo ulichochangishana, leo Tuna TV ya kanisa inayomhubiri Kristo ktk maeneo mengi ya Tz na Duniani!

Bila kuwa mnafiki nimeshtushwa na mienendo ya mahubiri yanayorushwa live pale yanapogusia SIASA!

Iliianza Jumapili iliyopita Mch.Masai alipowalaani wote, aliwaita wachache wanaompinga Rais Magufuli.

Leo ibada ya jioni Mch wa Kijitonyama ameliambia Taifa, kuwa Kuna kabila moja tu lenye roho ya maendeleo nalo ni wachaga!...na kwa kuwa Rais Magufuli analeta maendeleo Basi yeye ni damudamu na Wachaga...na ile minong’ono kuwa JPManawsbagua Wachaga SI kweli!

Ameendelea kubainisha kuwa Wachaga hawapendi SIASA na ukiona Mchaga yupo kwenye Siasa huyo anazuga!?

Jana asubuhi ktk mahubiri yake alisema kuwa Kanisa lilifunga ili Tz ipate Rais mpenda haki na Mungu alijibu maombi ya Kanisa!

Akahitimisha kuwa wanaolia maisha magumu ni wale waliokuws wanaishi kwa wizi!

Nimejiuluza maswali mengi Sana:
Je, Kama KKKT wanajua ibada hizo zinaonekana nchi nzima, wamekubali pia maudhui ya Hawa wachungaji yaenee nchi nzima?!

Je, huu ni MSIMAMO wa Kanisa, DAYOSISI ya MASHARIKI au ni mawazo yao Hawa ndugu!

Kama Kanisa mnawaweka fungu gani waumini wenu?

Mch Kimaro anaposema tukiwaona Wachaga kwenye Siasa tujue wanazuga, wanazuga ili iweje? Wanatafuta Nini kwenye hayo aliyoita MAIGIZO!!?

USHAURI WA BURE:
KKKT KUWENI MAKINI NA MASUALA HAYA MNAYOONANI MADOGO.

..KAMA MCH. KIMARO NA MATSAI NDIO MNAONA WANAIBRAND KIROHO KKKT, BASI WAFUNGENI GAVANA YA KIBURI

...HIVI NI LAZIMA KUWAPA AIRTIME KIJITONYAMA PEKEE KWENYE MAHUBIRI, MBONA KUNA WACHUNGAJI WENGI WANAOJUA KUHIBIRI NA KUFUNDISHA?

...JITAHIDINI MSITENGENEZE MANABII NA MITUME NDANI YA KKKT MTAJUTA!
KWA TAARIFA YENU

...TULIOCHANGIA UPENDOTV.
...Ndio sisi ndugu na jamaa wa akina Tundu Lissu, Ben Saanane na wengine!

..ni sisi watumishi wa serikali ambao hatujapandishiwa mishahara kwa miaka minne,

...NI sisi ambao tunamkosoa Rais tunapoona anatenda ndivyo sio '!

...Sisi mliotufundisha haki huinua Taifa.

SAMAHANI KWA UANDISHI, NINA JAKA MOYO LA KIROHO!
Watumishi wa Mungu hao uliowataja hapo, wanafanya kazi nzuri sana pengine kuliko hao unaoona ndio wazuri kwa mtazamo wako. Kama hutaki sikushikii fimbo ila soma soma Petro wa kwanza sura ya kwanza mstari wa kumi na nane
(1 Peter 1/;18)
 
Akili kubwa huwa hazishikiwi fimbo,Mimi ni Mlutheri...kwa kuzaliwa sikubaliani na mahubiri sampuli ile,Walutheri wa kweli huwa hatulishwi matsngo pori,!
Mtahangaika kujenga hoja ...lakini ujumbe umefika na hivi karibun...mtaona mabadiliko ndani ya UPENDO TV naDMP!
 
Leo kulikuwa Na misa ya masifu ya joini
KKKT Kijitonyama live Upendo TV n.k. makanisa mengi yamemkopi
Mzoeeeeeee ya kanisa lenu or Mtafikiriwa wachawi mkipinga
 
Huo utaratibu wa masifu umekuwepo katika kanisa la roman catholic mamia ya miaka, labda huyo kimaro ndo ameiga huko kwa wakatoliki
 
Sina budi kumshukuru Mungu kwa kile kidogo ulichochangishana, leo Tuna TV ya kanisa inayomhubiri Kristo ktk maeneo mengi ya Tz na Duniani!

Bila kuwa mnafiki nimeshtushwa na mienendo ya mahubiri yanayorushwa live pale yanapogusia SIASA!

Iliianza Jumapili iliyopita Mch.Masai alipowalaani wote, aliwaita wachache wanaompinga Rais Magufuli.

Leo ibada ya jioni Mch wa Kijitonyama ameliambia Taifa, kuwa Kuna kabila moja tu lenye roho ya maendeleo nalo ni wachaga!...na kwa kuwa Rais Magufuli analeta maendeleo Basi yeye ni damudamu na Wachaga...na ile minong’ono kuwa JPManawsbagua Wachaga SI kweli!

Ameendelea kubainisha kuwa Wachaga hawapendi SIASA na ukiona Mchaga yupo kwenye Siasa huyo anazuga!?

Jana asubuhi ktk mahubiri yake alisema kuwa Kanisa lilifunga ili Tz ipate Rais mpenda haki na Mungu alijibu maombi ya Kanisa!

Akahitimisha kuwa wanaolia maisha magumu ni wale waliokuws wanaishi kwa wizi!

Nimejiuluza maswali mengi Sana:
Je, Kama KKKT wanajua ibada hizo zinaonekana nchi nzima, wamekubali pia maudhui ya Hawa wachungaji yaenee nchi nzima?!

Je, huu ni MSIMAMO wa Kanisa, DAYOSISI ya MASHARIKI au ni mawazo yao Hawa ndugu!

Kama Kanisa mnawaweka fungu gani waumini wenu?

Mch Kimaro anaposema tukiwaona Wachaga kwenye Siasa tujue wanazuga, wanazuga ili iweje? Wanatafuta Nini kwenye hayo aliyoita MAIGIZO!!?

USHAURI WA BURE:
KKKT KUWENI MAKINI NA MASUALA HAYA MNAYOONANI MADOGO.

..KAMA MCH. KIMARO NA MATSAI NDIO MNAONA WANAIBRAND KIROHO KKKT, BASI WAFUNGENI GAVANA YA KIBURI

...HIVI NI LAZIMA KUWAPA AIRTIME KIJITONYAMA PEKEE KWENYE MAHUBIRI, MBONA KUNA WACHUNGAJI WENGI WANAOJUA KUHIBIRI NA KUFUNDISHA?

...JITAHIDINI MSITENGENEZE MANABII NA MITUME NDANI YA KKKT MTAJUTA!
KWA TAARIFA YENU

...TULIOCHANGIA UPENDOTV.
...Ndio sisi ndugu na jamaa wa akina Tundu Lissu, Ben Saanane na wengine!

..ni sisi watumishi wa serikali ambao hatujapandishiwa mishahara kwa miaka minne,

...NI sisi ambao tunamkosoa Rais tunapoona anatenda ndivyo sio '!

...Sisi mliotufundisha haki huinua Taifa.

SAMAHANI KWA UANDISHI, NINA JAKA MOYO LA KIROHO!
Naona povu linakumwagika mbaka kifuani.
 
AMEN, SALA YAKO IMEFIKA.
WAMEKULA RAMBIRAMBI HUKO KAGERA, WAMEKULA HEL ZA MAFAO NSSSF, WAMEVUNJA NYUMBA KIMARA BILA FIDIA ILA MWANZA KASEMA WALIPWE NA WAMELIPWA,
WAlio vamia maeneo kuona ni wasukuma yale mapori kasema watu waishi humo, ila ingekuwa mchaga wangepata kipigo cha mbwa koko kama muruto asemavyo
Amina umesahau wakulima wa korosho, lissu risasi 37, azory gwanda, ben saa nane kutekwa na kuuawa, mungu anaona kila kitu
 
Kimaro huwa anasema yeye anaikubali sana katoliki,maana alishaishi na mapadri miezi 5 ndio maana ana matamshi ya kikatoliki so hamna mtu atakayempangia
Kuhusu masifu katoliki wana hizi misa makanisa yote
 
Back
Top Bottom