KKKT haya mahubiri ya Upendo Tv kuhusu siasa ni msimamo wa kanisa au wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani?

tumsamehe, kabweteka, katoto kaanza kugusa uvunguni mwa mapaja, hata baki salama, ajiunge CCM kama anataka siasa, fll stop, kwanza tutanzisha movement ya kuhama kijitonyama, tutaamia KKT au UPANGA CCC, kule wanaishi kizungu na hakuna siasa
Shetani kaishamtia kibri
 
Kwani alikuwa anaongelea neno gani la kwenye Biblia linaloendana na aliyoyasema.. mjue kwenye Biblia kuna mengi kuhusu utawala n.k.
 
Kimaro ni muhubiri mzuri...nimeshamsikiliza mara kadhaa...kama atapitia bandiko hili ninamshauri na kumuomba....apunguze kwenye mahubiri yake kutaja mambo ya makabila, na siasa...itamsaidia sana kuboresha mahubiri yake....kuna waumimi wake tukimsikiliza akianza kutamba kuhusu ...sijui kabila fulani au
sijui mwanasiasa fulani masikio yanawasha...Afuate mfano wa Mwakasege.....ikitokea akagusia siasa katika mahubiri yake haoneshi upande...anasimama katika neno..(rejea mahubiri yake ya neneo:ili ufanikiwe maombi pekee hayatoshi)...akigusia makabila hataji jina la kabila...au kusema anatoka wapi....
Mungu azidi kumpa hekima mchungaji Eliona Kimaro...
Ushauri wako ni mzuri sana, najua Kimaro kwa sasa yupo kileleni katika kulitangaza neno. Lakini anaweza akawa ndio anakaribia anguko lake asipokuwa makini.

Kuwa na upande kwenye siasa haitamwacha salama
 
Waafirka Bwana awasaidie, maneno mengine ya Dini hizi za kuja yanaweza yakawa yaliongezwa na Wazungu ili tuukubali utumwa

Na ndio maana moja ya vitangulizi na zana zilizosaidia ukoloni kuingia na kukubalika Africa ni dini. Usijifungie kifikra.
Mi sio msemaji wa mtu yeyote awe Mchungaji Mastai au Kimaro.

Inawezekana upo tu umeandika bila kujua kweli ilivyo.

Mchungaji Mastai na Kimaro wanatimiza neno kama lilivyo kwenye maandiko ya kua mtiini mwenye MAMLAKA ambaye ni Rais.
Sasa kama Biblia imendika hivyo wao ni nani jamani mpaka wasiitii mamlaka.
Enyi watumishi, watiini bwana zenu kwa hofu nyingi, sio wale walio wema na wenye upole tu, bali pia wale walio wakali.

*1* *Petro 2:18*
Enyi watumishi, watiini bwana zenu kwa hofu nyingi, sio wale walio wema na wenye upole tu, bali hata wale walio wakali.

2. Khusu radio kweli watu walichanga na makanisa yote yana haki kutumia.

Kwa taarifa tu Mchungaji Kimaro ilibidi tumpongeze kwa mchango wake wa kuifanya Upendo redio i-sustain.

(i) We ulivyotoa mchango wako umeshawahi kujitolea tena kupeleka pesa kwa ajili ya mishahara ya wafanyakazi wa Upendo?

(ii] Hayo makanisa mengine unayoyasema yanafanya vizuri yalishawahi kwenda Upendo media kutaka wapate airtime wakanyimwa?

(iii) Unajua gharama za kupata live coverage labda kwa lisaa limoja ni shilingi ngapi ?

(iv) Unajua KKKT Kijitonyama kwa huyo Kimaro wanailipa Upendo media shilingi ngapi au unadhani ni bure? Ndo mana nakwambia Kimaro anatakiwa kushukuriwa kwa kuthubutu kuwaita Upendo media warushe matangazo yake live akijua kabisa anaweza kulipia.
Usidhani ulipochanga ile pesa siku hiyo sijui hata ilikua ngapi ndo ulikua mwisho wako mpendwa.

Ilikubidi upeleke na matangazo ya ofisini kwako watutangazie na uwalipe la sivyo Radio itajiendesha kwa hasara na Amin Amin nakuambia ingefikia hapo KKKT wangerudi kanisani kwako kukuomba mchango wa kuwalipa wafanyakazi mishahara ungelalamika mpaka ungekufuru laana iende kwa uzao wako bila sababu.

Mi huu ndio mtazamo wangu na sifungamani na mtu yeyote nikosolewe pale nilipopinda. Ubarikiwe sana wewe unayeanza majungu yasiyo na tija
 
Sina budi kumshukuru Mungu kwa kile kidogo ulichochangishana, leo Tuna TV ya kanisa inayomhubiri Kristo ktk maeneo mengi ya Tz na Duniani!

Bila kuwa mnafiki nimeshtushwa na mienendo ya mahubiri yanayorushwa live pale yanapogusia SIASA!

Iliianza Jumapili iliyopita Mch.Masai alipowalaani wote, aliwaita wachache wanaompinga Rais Magufuli.

Leo ibada ya jioni Mch wa Kijitonyama ameliambia Taifa, kuwa Kuna kabila moja tu lenye roho ya maendeleo nalo ni wachaga!...na kwa kuwa Rais Magufuli analeta maendeleo Basi yeye ni damudamu na Wachaga...na ile minong’ono kuwa JPManawsbagua Wachaga SI kweli!

Ameendelea kubainisha kuwa Wachaga hawapendi SIASA na ukiona Mchaga yupo kwenye Siasa huyo anazuga!?

Jana asubuhi ktk mahubiri yake alisema kuwa Kanisa lilifunga ili Tz ipate Rais mpenda haki na Mungu alijibu maombi ya Kanisa!

Akahitimisha kuwa wanaolia maisha magumu ni wale waliokuws wanaishi kwa wizi!

Nimejiuluza maswali mengi Sana:
Je, Kama KKKT wanajua ibada hizo zinaonekana nchi nzima, wamekubali pia maudhui ya Hawa wachungaji yaenee nchi nzima?!

Je, huu ni MSIMAMO wa Kanisa, DAYOSISI ya MASHARIKI au ni mawazo yao Hawa ndugu!

Kama Kanisa mnawaweka fungu gani waumini wenu?

Mch Kimaro anaposema tukiwaona Wachaga kwenye Siasa tujue wanazuga, wanazuga ili iweje? Wanatafuta Nini kwenye hayo aliyoita MAIGIZO!!?

USHAURI WA BURE:
KKKT KUWENI MAKINI NA MASUALA HAYA MNAYOONANI MADOGO.

..KAMA MCH. KIMARO NA MATSAI NDIO MNAONA WANAIBRAND KIROHO KKKT, BASI WAFUNGENI GAVANA YA KIBURI

...HIVI NI LAZIMA KUWAPA AIRTIME KIJITONYAMA PEKEE KWENYE MAHUBIRI, MBONA KUNA WACHUNGAJI WENGI WANAOJUA KUHIBIRI NA KUFUNDISHA?

...JITAHIDINI MSITENGENEZE MANABII NA MITUME NDANI YA KKKT MTAJUTA!
KWA TAARIFA YENU

...TULIOCHANGIA UPENDOTV.
...Ndio sisi ndugu na jamaa wa akina Tundu Lissu, Ben Saanane na wengine!

..ni sisi watumishi wa serikali ambao hatujapandishiwa mishahara kwa miaka minne,

...NI sisi ambao tunamkosoa Rais tunapoona anatenda ndivyo sio '!

...Sisi mliotufundisha haki huinua Taifa.

SAMAHANI KWA UANDISHI, NINA JAKA MOYO LA KIROHO!
Kwahiyo kutopandishiwa kupigwa Tundu Lissu na kupotea kwa Ben Saa nane Ndiyo msimamo wa Kanisa?
Inaonekana hata hujui maana ya msimamo wa Kanisa hutolewa na Nani?
Mafundisho ya kanisa Ubeba pia Maonyo inaonekana Mchungaji huyo kawaonya Watanzania kuhusu maigizo ya baadhi ya makabila katika siasa za Tanzania
 
Aisee niliisikia hii. Kanisa limepoteza mwelekeo, siku hizi Kristo hatoshi, lazima kuweka chombezo za kidunia kushawishi watu.
 
Mistari km mitano hivi ndio imevuruga kila kitu since sikuwahi kuona unampinga Ask.Bagonza,Niwemugiz nk.
 
Hiyo Dayosisi huko Pwani kuanzia Askofu wao Malasusa mpaka Wazee wa Kanisa ni watu wa kujipendekeza so usishangae
 
Kwahiyo kutopandishiwa kupigwa Tundu Lissu na kupotea kwa Ben Saa nane Ndiyo msimamo wa Kanisa?
Inaonekana hata hujui maana ya msimamo wa Kanisa hutolewa na Nani?
Mafundisho ya kanisa Ubeba pia Maonyo inaonekana Mchungaji huyo kawaonya Watanzania kuhusu maigizo ya baadhi ya makabila katika siasa za Tanzania
Ndg Kama hukuelewa na hukusikiliza mahubiri Yale kaa kimya!
 
HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO,ALISEMA WALIO WAKE "MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAO". Kusifia hakuna maana ya kuchanganya siasa na dini, kibaya kukosoa/kushauri au kuwa na mawazo mbadala hats pale panapostahili kufanya hivyo utawekwa kwenye kundi la wahaini.
 
Sema Mchungaji Kimaro kapoteza Mwelekeo sio Kanisa Kimaro kaajiriwa na Kkkt hana mamlaka yakulisemea Kanisa yangekuwa yale makanisa ya mifukoni sawa ila Kkkt ni Taasisi mtu mmoja kwa upuuzi wake hawezi kuwa sauti kkkt
Aisee niliisikia hii. Kanisa limepoteza mwelekeo, siku hizi Kristo hatoshi, lazima kuweka chombezo za kidunia kushawishi watu.
 
hajaacha kanisa wewe ngedere, kaacha wokovu.
soma biblia, ukikuta pahala Yesu kaacha kanisa leo na mimi nakuwa mfuasi wa hilo kanisa!

naomba jina nla kanisa Yesu liloliacha, peleka huu ujumbe kwa wakatoliki wenzako, makatekista, walei, frate, shemasi na paroko, wote fanyeni asssignment, mniletee jibu hapa, naapa mbele za mbingu nami nitajiunga nalo.
Yesu aliacha Kanisa. Usibishe kwa sababu ya kubisha. Labda swali lako lililo muhimu, ni je, aliacha Kanisa gani?

Yesu hakuacha dhehebu wala dini bali aliacha Kanisa.

'Simon, wewe ni Petera (means rock in greek), na juu ya hiyo Petera, nitalijenga Kanisa langu. Na milango ya jehanam haitalishinda.

Kanisa alilolianzisha Kristo ni Kanisa alilolianzisha Kristo mwenyewe siku ya Pentekoste, ambalo mitume chini ya Petera, walilihubiri.

Ni Kanisa hilo ndilo walilolihubiri mitume kila walikoenda. Lilienea Uyahudi wote na kisha likafika Italia. Italia Petro alijenga kikanisa kidogo cha kumwabudia Kristo na kulitangaza Kanisa la Kristo, na hapo ndipo lilipo Kanisa linaloitwa Saint Peters Basilica.

Kanisa aliloliacha Kristo siyo jengo, bali ni mafundisho aliyowaambia mitume wawafundishe mataifa yote.

Unachokijua, nahisi ni kidogo sana kuhusiana na wokovu.

Na ujumbe wa mitume kwa watu wote ulikuwa wazi - tubuni na kuiamili Injili (wasioelewa wanadhani Injili ni biblia ambacho ni kitabu. Kristo alipoondoka hakuacha kitabu wala waraka wowote bali aliwaacha mitume wakiwa na ujumbe wake ulio wazi).

Mpaka leo, jibu sahihi la Kanisa alilolianzisha Kristo, ni lile Kanisa la mitume, chini ya mchungaji mmoja mkuu, Petera.
 
Kwahiyo kutopandishiwa kupigwa Tundu Lissu na kupotea kwa Ben Saa nane Ndiyo msimamo wa Kanisa?
Inaonekana hata hujui maana ya msimamo wa Kanisa hutolewa na Nani?
Mafundisho ya kanisa Ubeba pia Maonyo inaonekana Mchungaji huyo kawaonya Watanzania kuhusu maigizo ya baadhi ya makabila katika siasa za Tanzania
Kimaro bila kumpamba ameongea upuuzi. Utawezaje kusema kuwa kabila fulani halijui siasa? Siasa ni nini? Ni kabila gani linajua siasa? Hivi hata kabla ya uhuru si kulikuwa na chief/ Mangi huko uchagani? Huyo alikuwa anafanya nini kama siyo siasa?

Kimaro ameongea uwendawazimu ambao hata mwenye akili ya kawaida, isiyo kubwa atajua kuwa huyu mchungaji hastahili kufundisha bali kufundishwa. Huyu hastahili kuwa mchungaji bali afaa kuwa mchungwaji/kondoo.
 
Kula tano bam!ndio tatizo la watumishi waMungu kujifanya wanajua Kila kitu Yale mahubiri yamedhalilisha KKKT!
 
Kimaro bila kumpamba ameongea upuuzi. Utawezaje kusema kuwa kabila fulani halijui siasa? Siasa ni nini? Ni kabila gani linajua siasa? Hivi hata kabla ya uhuru si kulikuwa na chief/ Mangi huko uchagani? Huyo alikuwa anafanya nini kama siyo siasa?

Kimaro ameongea uwendawazimu ambao hata mwenye akili ya kawaida, isiyo kubwa atajua kuwa huyu mchungaji hastahili kufundisha bali kufundishwa. Huyu hastahili kuwa mchungaji bali afaa kuwa mchungwaji/kondoo.
Inajionesha wazi wavaa majoho huko kanisani hawalidhiki wanataka uDC pia
 
Back
Top Bottom