Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,434
- 133,864
Ule msemo wa Kizuri kula na wenzio unamaanisha ukiona jambo jema, zuri, wajulishe na wenzio!.
Hii ni kwa wenzetu mliopo ughaibuni, msosi rahisi ni fast food. Wale wa Mcdonalds, Kentucky or Tenesse etc, mkirudi nyumbani bongo, sasa mambo hayo yapo!. Karibu kila petrol station kubwa jirani kuna kibanda cha burger, tatizo ni hizo burger zenyewe!.
Miongoni mwa wanaojitahidi sana kufanania na Mcdonalds angalau angalau ni kile kibanda pale Petrol Station ya Morocco!.
Mkirejea nyumbani, ukijiona umemiss sana burger, karibu hapo Morroco you'll never regrate!.
burger ndio nn sasa, naona mnataja majina ya watu mara mc donards anafanyia shughuli zake za umc ukumbi gani tujuzane basi
Kiagata, hili sio tangazo la biashara, hii ni taarifa ya kizuri ule na mwenzio!. Lingekuwa tangazo ningetaja kuanzia jina la petrol station, jina la hiyo burger hut, ningekutajia mpaka mmiliki wa kibanda, na kukutajia vibanda vyake vingine ili kukuza biashara yake!. Kwa vile burger sio msosi wa asili yetu, walengwa wa taarifa hii ni wale wa maburger burger, sisi wa ugali tunaendelea na ugali wetu!.Sasa hilo ni tangazo la Biashara au..?
Tenesse
ni jina tuu kama Makidonadi, Kentaki fraid chiken na Tenesee fraid chiken!. Natumaini utakuwa unenipata.Aisee learned brother....hiyo nayo ndo nini?