kizungumkuti kweli kweli

kizungumkuti kweli kweli

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
BOSS anamwambia
sekretari wake: Wiki hii
tutaenda wote Arusha
kwenye mkutano, hivyo
jitayarishe.
SEKRETARI (anamuaga
mumewe): Tunaenda na
bosi Arusha kwenye
mkutano wa wiki nzima
MUME (anampigia nyumba
ndogo): Mambo safi, wife
anaenda kikazi Arusha
jitayarishekujirusha wiki
nzima
SMALL HOUSE
(anamwambia mwanafunzi
wake wa twisheni): wiki hii
nina kazi fulani hakuna
twishen mpaka wiki ijayo
MWANAFUNZI (anampigia
simu babu yake,ambaye
kumbe ndie Bosi
aliyepanga safari ): Babu
hakuna twisheni wiki hii
nakuja kwako
BOSS anamwambia
sekretari wake: Siendi
Arusha mjukuu wangu
kapata nafasi ya
kunitembelea
SEKRETARI: Mume wangu
hatuendi Arusha
MUME: Aise mpenzi jamaa
haendi mipango
imeharibika
SMALL HOUSE (anampigia
mwanafunzi): Darasa kama
kawaida
MWANAFUNZI: Babu
twisheni iko, ntakuja wiki
ijayo
BOSS: Sekretari sorry
jitayarishe ile safari ya
Arusha iko palepale
mjukuu wangu hawezi kuja
wiki hii
 
Haahaahaa dah! Hiyo ni jiulize tupo wangapi? Kweli kaazi kwelikweli !

ushasikia mnyororo wa ngoma ndio huu, imagine virus unatoka kwa baba unamfikia binti mtu
 
This is JF World bhana hahahhahaaaaaa, yaani mchongo mzima kashikilia dogo
 
BOSS anamwambia
sekretari wake: Wiki hii
tutaenda wote Arusha
kwenye mkutano, hivyo
jitayarishe.
SEKRETARI (anamuaga
mumewe): Tunaenda na
bosi Arusha kwenye
mkutano wa wiki nzima
MUME (anampigia nyumba
ndogo): Mambo safi, wife
anaenda kikazi Arusha
jitayarishekujirusha wiki
nzima
SMALL HOUSE
(anamwambia mwanafunzi
wake wa twisheni): wiki hii
nina kazi fulani hakuna
twishen mpaka wiki ijayo
MWANAFUNZI (anampigia
simu babu yake,ambaye
kumbe ndie Bosi
aliyepanga safari ): Babu
hakuna twisheni wiki hii
nakuja kwako
BOSS anamwambia
sekretari wake: Siendi
Arusha mjukuu wangu
kapata nafasi ya
kunitembelea
SEKRETARI: Mume wangu
hatuendi Arusha
MUME: Aise mpenzi jamaa
haendi mipango
imeharibika
SMALL HOUSE (anampigia
mwanafunzi): Darasa kama
kawaida
MWANAFUNZI: Babu
twisheni iko, ntakuja wiki
ijayo
BOSS: Sekretari sorry
jitayarishe ile safari ya
Arusha iko palepale
mjukuu wangu hawezi kuja
wiki hii

Hahahahaaa!
Hiyo inaitwa pasua kichwa!!!!
 
hahahahahahahahahahahahahahh..........................................
 
Je Iliendeleaje?.... Maana nahisi kama series ilianza season 2 baada ya dogo kuhairisha safari ya kwa babu
 
kadi bado hazijatoka.. wiki ya mwisho nitatoa free kadi 2 hapa kwa competition.. so uwe tayari kwa hilo
 
ha ha ha ha nani wa kwanza kaanzisha safari ni boss au???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom