Kizazi kijacho ni damu ya Mchina na Mswahili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kizazi kijacho ni damu ya Mchina na Mswahili.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kashaija, Dec 17, 2009.

 1. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wana JF,

  Kwa siku kadhaa sasa, nimekuwa najaribu kufanya utafiti wa kile nilichowahi kuelezwa na rafiki yangu mmoja kwamba Wachina waliozagaa hapa Bongo (na pengine mikoa mingine) wameanza kuzaa na dada zetu.

  Kutokana na uchunguzi wangu wa takriban mwezi mzima, nimegundua kwamba ni kweli, maeneo ya Temeke kwa Sokota nimebahatika kuona dada zetu wawili ambao ni majirani wakiwa na vitoto vidogo vya kati ya miaka 2 na 3 vyenye mchanganyiko wa damu (Kichina na Kibongo).

  Nilijaribu kumdadisi rafiki yangu ambaye ni fundi wa garage ambako kimsingi nilikuwa nimepeleka gari kwa matengenezo. Akaniambia kama ifuatavyo "Ahaa, unashangaa nini, mbona wako wengi waliozaa na Wachina katika maeneo haya, si unajua Wachina waliokuwa wanajenga uwanja mpya walijichanganya/wanajichanganya sana na dada zetu? Haya ndiyo matokeo"

  Sasa nataka nieleweke wazi, lengo langu hapa siyo kuingilia mapenzi na maamuzi ya watu wawili (Mchina na Mswahili), ila ninachokiona ni kwamba tunaanza kuharibu mbegu yetu kwa kuanza kuzaa watu wafupi. Na kwa mtazamo wangu hili swala linaweza kuwa ni kubwa zaidi hasa kwa kuzingatia kwamba wimbi la Wachina kuingia nchini limekuwa ni kubwa sana.

  Je tufanye nini?
   
 2. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  shida sio kupata mbegu fupi maana baadhi ya watafiti wanasema matokeo ya ufupi ni kutokupata maziwa ya mama na tabia ya kutokunywa maziwa fresh kama ya mbuzi na ng'ombe.

  sasa wachina inasemekana ni moja ya watu ambao hawakuwa na utamaduni wa kunywa maziwa hayo fresh na ukichunguza sana watu wengi ambao asili yako sio wafugaji na hawana tabia ya kunywa maziwa sana ni wafupi ila watu wale ambao ni wafugaji na wanapenda sana kunywa maziwa fresh wengi wao wanakuwa ni warefu. kama wanyaru, waganda, wamasai, n.k

  ndio maana kama ni kweli niliwahi kusikia kuwa wachina wameanza kampeni ya kunywa maziwa (sina source) ili angalau kizazi kijacho kuwa na wachina warefu.

  Pengine labda tatizo ninaloliona mimi kama hao watoto wamezaliwa na hao wachina je watawajua wazazi wao, na hao akina baba wako responsible kuwahudumia tusije kuwa tunaongeza namba ya watoto wa barabani wasio na future then ndo wanakuja kuwa majambazi ya baadaye. ni mtizamo tu.
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  This is some Nazism shyt.

  Waafrika tumewapigia kelele sana makaburu kwa sheria za kibaguzi, Wtanzania tunawasema wahindi kwamba hawataki kujichanganya nasi.

  Wanakuja Wachina moto chini wanajichanganya kama hawana akili nzuri, tunaanza kelele kwa nini wanajichanganya.

  Kila kitu tabu tu.Hivi na ndugu zetu wanaokwenda nchi za watu na kujichanganya na watu wao wakibaguliwa on the basis of race tutajisikiaje? Si tutabeba mabango na kusema hawa watu wabaguzi?

  Mbona tunakuwa rahisi kuwa wabaguzi sisis wenyewe?
   
 4. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Kashaija mwanafalsafa mmoja mashuhuri alisema " many complain about their looks but none of their brains."

  Cha msingi hapa ni kuwa dada zetu wana haki kama ambavyo wanaume walivyo na haki ya kuzaa na wanawake wa mataifa mengine. Pili ufupi, urefu, weupe,weusi nk sio tija. Kuna ubaya gani watoto wetu wakiwa wafupi lakini akili wanazo.

  Ona sasa, kinachotusumbua Tanzania pamoja na maumbile na sura nzuri tulizonazo hatuna akili ya kukabiliana na matatizo yanayoyotuzunguka, tunatupa takataka ovyo, tunajisaidia kila mahali, hatuna civility na tolerance, hatujui hata kinachotuzunguka.

  Kama unaipenda nchi yako omba tuwe na akili na vizazi vyetu viwe na akili.
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Dec 17, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,578
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  Kaka mimi mbona mfupi tayari, ina maana nilishaharibika kwa mtazamo wako?

  Dada wa kichina nao wanakubali kuolewa na waafrika? je kama wakiolewa na wamasai au watu warefu lazima mbegu itakuwa fupi tu??


  achana na haya mambo ,acha watu wafurahie maisha, GLOBALISATION HIYO!
   
 6. D

  Darwin JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  [​IMG]


  Hata Naomi Campbell ana damu 1/8 ya uchina
   
 7. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  si muda mrefu mbegu ya kiswahili itakuwa historia,ukienda Ambiance hapo ndio utaona wachina wanavyopandikiza mbegu kwa dada zetu,hao wachina ni maarufu kwa kuwaacha solemba dada zetu na kupotela kwao,wengi wa hao dada hata ukiwauliza hao waliowapanda wanashindwa hata kujua huko china wako wapi
   
 8. D

  Darwin JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  [​IMG]

  Au kama huyu half black half chinese
   
 9. D

  Darwin JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nenda Russia utakuta machotara kibao waliotelekezwa na baba zao waliokwenda kusoma kule halafu nakuwaacha watoto wao
   
 10. D

  Darwin JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  [​IMG]

  Kimora Lee Simmons
   
 11. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .............
  Asante sana mkuu kwa kuliona hilo Tz watu hawaeleweki wanataka na hawataki nini......mie na demu wangu wakizungu hapa Europe twaishi safiiiii ,mtaani,home kwao,wazazi wake,ndugu jamaaa marafiki hadi najisahau kama nipo ugenini..........popote pale twapeana hamna kunyimana...lol..
  ......acha wachina wazae kwani pana tatizo gani tena tunatengeneza specie nzuri sana na yenye akili kwa manufaa ya taifa badaaye....si unajua wachina wanavojua kuhustle?
  ...NOTE: RACISM HAS NO ROOM IN THIS GENERATION.....
  .....ALWAYS SAY NO 2RACISM.
   
 12. D

  Darwin JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tutawapata wakina
  TYSON BECKFORD

  NeYo

  Bila kumsahau mrembo Amerie

  [​IMG]
   
 13. D

  Darwin JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  [​IMG]

  Wentworth Miller (Prison Break; mariah carey's "we belong together" mv)
  father is of African-American, Jamaican, German, English, Jewish, and Cherokee Native American Indian ancestry,and his mother is of Russian, French, Dutch, Lebanese and Syrian descent.
   
 14. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  [​IMG]

  Xavier Naidoo, German Gospel/political raper. Ana damu ya South Africa, India, Uk.....
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]

  The wife of Mark Obama Ndesandjo.
   
 16. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #16
  Dec 18, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  mchwa na nguchiro
   
 17. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  acheni wachina wazae na dada wa kitanzania kwani wakirudi kwao sheria inamruhusu kuza moto mmoja tu! pia ukienda china ni 'marufuku' kwa raia wao kuzaa na species zingine...imekaa kama vile wanafungwa na sheria za nchi yao eti wasiharibu damu yao.... walinde kizazi...wanaozaa na raia wa nchi zingine wengi wao hawaishi nchini china...
   
 18. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Mimi mwenyewe nagonga mzigo wa kichina na kama mambo yatakuwa mswano April 2010 atanitolea ka-baby boy...Maisha matamu hakuna kokolo wala nini. Mpo??
   
 19. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Kamanda wachina, wazungu, waafrika sio species tofauti.
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Eti nini? Mbegu? Acheni utani jamani.
   
Loading...