Kizazi Cha Sasa Hivi Bwana!

Kizazi Cha Sasa Hivi Bwana!

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,303
Natumaini hapo baadae tutakua na wasanii wengi sana kwakua naona kama sanaa ya mziki inalipa!
Alaji.JPG
 
picha nzuri sana hii nimeipenda... Harafu hawa watoto ni wa Musoma...kama sio Kenya...Murah..namang'ana
 
Vitoto vinanikumbusha mbali hivi! haya maisha yalikuwa na raha ile mbaya!
 
Natumaini hapo baadae tutakua na wasanii wengi sana kwakua naona kama sanaa ya mziki inalipa!
Alaji.JPG

Nimeipenda hiyo sare yao!!!
Daaaa uwakute wanacheza kiduku sasa!!!
 
Yaani imenichekesha hadi natoa machozi...naomba kujua zinakopatikana picha za aina hii pls
 
mbona wote wanavitmbi hiyi afya au obesity...
 
jamani, sio kosa lao, kosa ni la eneo wanalokaa kijijini hakuna gari wala kamera, sasa walipoona gari na mtu anapiga picha ikabidi wachizike ki vileji vileji
 
Nadhani ilikuwa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita.
 
The best thing about these kids is that they look happy and seem to enjoy whatever little things they have in their lives - there are people out there who have almost everything they desire in life and yet happiness remains so elusive to them...
 
Back
Top Bottom