Kizaa zaa Bungeni ktk Hotuba ya Kambi ya upinzani

Mimi kuanzia leo sichangii,mpaka kila mtu atakapothaminiwa katika nchi hii na kama ni sheria kuchukua mkondo wake na vyombo vya sheria kutenda haki sawasawa.
Ukiona nimechangia mada ujue nimewasiliana na mwanasheria wangu na kuniruhusu.
Nawatakia michango myema ya kusutana.
 
Kama hawataki hizo page zenye maelezo ya mauwaji zisomwe ni dhahiri kwamba wao serikali ndiyo wamehusika na mauwaji hayo yote yaliyotokea, serikali dhaifu kweli wanashindwa kuongea ukweli wanakimbilia mahakamani? Kweli hatuna serikali. Lukuvi na team yake muda wenu umeisha 2015 haifiki
 
Kadri siku zinavyokwenda ndivyo bunge na mahakama vinavyozidi kushuka hadhi yake. Ni aibu kubwa kwa unyanyasaji wa wazi unaofanyika bungeni na mahakamani. Na kwa hali kama hii maana yake hakuna uhuru tena. Tu watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe. Na sasa wanataka kututia hofu ili watutawale watakavyo. Then, tutakapokuwa hatuna mahali pa kusemea tena, pale tutakapokuwa hatuna wakutusemea, ndiposa..............!!!!!!!????????????
 
Yaani magamba wana matatizo!huu ndo ikweli ss wanachokataausemwe ni nn?lukuvi amechanganyikiwa eeh!?
anyway ctakikusema sana,nisijepata burn
 
society.jpg :A S cry::A S cry:freedom is coming,CCM out....
 
Hapa naangalia uelewa wa spika wa bunge hili. Uelewa wake upo chini sana na anataka watu wengine wafanye kazi yake
 
Hapo ndio namkumbuka Mh Lema angepiga kelele za kudai haki bila woga hadi wakome mle ndani.CDM msiwe wanyonge watifueni tu hao CCM.

Dah..! Acha tu........ Lema ni jembe.... ila hawatuwezi.... M4C z muvn at 360mph wao ndo kwanza 20mph...

Wt do u xpect..!
 
A failed state has several attributes. Common indicators include a state whose central government is so weak or ineffective that it has little practical control over much of its territory; non-provision of public services; widespread corruption and criminality; refugees and involuntary movement of populations; sharp economic decline.
 
Nimeisoma hii hotuba yote na hakuba kibaya kilichoandikwa cha kuweza kuharibu suhahid wa kesi zilizokuwa mahakamani, ila wametumia tu ubabe kama kawaida yao. Wananchosahau ni kitu kimoja hii hotuba itamfikia kila mtanzania na kwa hilo wameonekana vibaya tu kwa wanchi kwani wanakandamiza democrasia kwa kifupi wanaongezea udhaifu kwenye chama chao kwani hadhi ya bunge inazidi kushuka kwa vile bunge limekuwa chombo cha ccm halina tena uhuru wa kumtetea mwananchi wetu. Kazi kwetu wananchi kuwaadabisha hawa ccm
 
But Massage sent and delivered.CCM hiyo inanyong'onyea kama nawaona 2015!
aisee kabla hawajangoka watawaua makada wenzao vibaya sana, kwa kwanza yule wa Iramba, Nchemba kamtanguliza ahera wa ujira kiduchu.
 
Uvumilivu wa kisiasa ndio pekee unaoweza kuliokoa taifa hili linaloelekea kuanza kuzama kwenye bahari ya machafuko.
 
Aibu kwa Spika anayeilinda Serikali. Kumbe hata hawajui ni jambo gani liko mahakamani.
 
Mods nakuomba uiweke hiyo hotuba kwenye uzi husika ili kila mtu aisome kwa uwazi kuliko ilivyojificha kwenye post
 
Hotuba kama ndo hii mbona ni nzuri 2 ni vipi ilete kizaazaa bungeni, CCM sasa hawataki kuambiwa ukweli
 
Lukuvi ameomba kuzuiwa kusomwa kwa hotuba ya bjt ya upinzani kwa kuwa ina paragraph zinazozungumzia kesi zilizo mahakamani. CCM wameamua kutumia mahakama kuficha ukweli usizungumzwe wazi!
HAPA TZ KUNA MAHAKAMA ZA AINA MBILI; MAHAKAMA YENYE MAJAJI WA RAIS NA MWENYEKITI WA CCM; NA MAHAKAMA YA WANANCHI (NGUVU YA UMMA), CHADEMA WAMEKUWA WAKITUMIA SANA HII MAHAKAMA YA UMMA NDIO MAANA SPIKA KASHTUKA MAPEMA KAZUIA KESI ISIFIKE MEZANI KWA RAIA WANAOFUATILIA BUNGI. Ila always kwa vyovyote haki itasinda tu, time will tel.
 
Back
Top Bottom