Kizaa zaa Bungeni ktk Hotuba ya Kambi ya upinzani

Moderators,

Mnapounganisha threads hebu angalieni ni ipi inatoa muelekeo wa threads na ina details ndio iwe kichwa, sentensi moja kama hii ya thread ya Zipuwama inaele elea tu hewani bila ku capture mtiririko wa thread haifai kuwa header, bora mngeweka hotuba ya Upinzani iliyobandikwa humu na Kiranja ambayo imeachwa in the middle of nowhwere.

Hotuba ya Kambi ya Upinzani inayosomwa sasa hivi yazua kizaa zaa
 
watajibeba,hata hivyo tumeshapata hotuba yote....magamba yanabanduka muda wowote.
 
Moderators,

Mnapounganisha threads hebu angalieni ni ipi inatoa muelekeo wa threads na ina details ndio iwe kichwa, sentensi moja kama hii ya thread ya Zipuwama inaele elea tu hewani bila ku capture mtiririko wa thread haifai kuwa header, bora mngeweka hotuba ya Upinzani iliyobandikwa humu na Kiranja ambayo imeachwa in the middle of nowhwere.

Kwani kukiwa na kichwa cha habari harafu habari ipo ndani kuna kosa au ndio kukariri huko. Acha kuishi kwa mazoea
 
watabanaaaaaa ila siku inakuja wataachia....huyu bibi in the name of Speaker pisses me off:shetani:
 
Mwisho wake wameamua ile hotuba iliyorukwa asubuhi isisomwe kabisa.........hili litafika mwisho tu
 
Moderators,

Mnapounganisha threads hebu angalieni ni ipi inatoa muelekeo wa threads na ina details ndio iwe kichwa, sentensi moja kama hii ya thread ya Zipuwama inaele elea tu hewani bila ku capture mtiririko wa thread haifai kuwa header, bora mngeweka hotuba ya Upinzani iliyobandikwa humu na Kiranja ambayo imeachwa in the middle of nowhwere.

Asante sana Taso,,sio siri Mods nao wanadhihirisha ukanjanja flani,,huyu jamaa kaweka mstari mmoja tu,,wakati kiranja kaweka hotuba nzima ndo ilipaswa iwe kichwa licha ya kwamba huyu Zipuyauwa alipost kabla
 
Kwa mtazamo wangu CDM wamesema ukweli maana kisichotakiwa kujadiliwa ni mwenendo wa kesi iliyoko mahakamani na siyo kutaja kesi iliyoko mahakani maana kwa kufanya hivyo hakuna mhimili wa dola ulioingiliwa.
Well said at the right time at the right place!
 
Ha ha na hoyu Baba AG ni kama gari bovu lipolipo tu halijui sheria ni kama zuzu.
 
Mbona mambo karibu yote yaliyoandikwa kwenye hotuba tayari watu wanayajua na yameshajadiliwa hata hapa ukumbini? Hao serikali na spika wanachofanya ni kuwapaisha cdm bila hata sababu za msingi.
Lakini ndo hivyo, sikio la kufa ..............!
 
Back
Top Bottom