L lettz New Member Mar 13, 2011 2 1 Aug 22, 2011 #1 hooodi wajumbe. Kiza kinene mwanzo mwisho mjengoni sasa! nipokeeni jamani
Chimunguru JF-Expert Member May 3, 2009 10,680 4,345 Aug 22, 2011 #2 karibu jamvini lettz uo sinza nini maana tupo kwenye kiza kinene mgao wa giza umetukumba
Baba Collin JF-Expert Member Aug 1, 2011 456 58 Aug 22, 2011 #3 Karibu mkuu.ila heading haiendani na maudhui.
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,641 Aug 22, 2011 #5 mkuu heading ya siredi na content hata havihusiani....................usirudie siku nyingine
Mwenzetu JF-Expert Member Dec 16, 2010 550 193 Aug 24, 2011 #9 Karibu sana,ila huku hakuna kiza......