Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Wakati naskilizia kwenda chuo, kipindi kile ukimaliza F6 unasubiri mwaka mzima kuingia chuo, kitaani choka mbaya.
Mshikaji tu, mganga njaa,akanipa deal. Ana mteja mjeshi, anataka kumpiga hela ndefu. Akanimbia twende Makaburini saa 7 usiku.
Mchezo utakuwa. Mimi nijifiche jirani na kaburi ambalo yeye atafanyia kazi. Kisha yeye na mteja wake watakuja na yeye kufanya KISOMO kwa sauti, wakati wa kisomo akanambia niwe natoa muungurumo wa ajabu mixer ya mlio wa Punda na Ng'ombe. Na akizidi kusoma na Mimi nizidishe kelele. Kweli nikafanya kama nilivoagizwa.
Si mchezo. Ugali mtamu. Cinema ilivoanza, hata dk 3 hatukufika. Mjeshi alitoka mbio. Aliacha mpaka pick up yake waliokuja nayo na MGANGA wangu. Aisee. Giza noma sana.