Kiza hutengeneza maumbo?

Kiza hutengeneza maumbo?

Nimekuelewa saaana kaka na ma monk nao walianzia hiviihiviiii... ila haina mbaya kama nia ni kwa ajili ya lengo la awali
 
mshana jr;
Yaani hakuna kitu kibaya kama uumbaji wa akili na fikara haswa pale unachanganya na kaulevi tena.
Siku moja sintaisahau, nilitokea kwenye ulevi na njia pekee salama ilikuwa nipite makaburini. Makaburi yalikuwa ya Kanisani. Ulikuwa unatokezea kutoka kamsitu flani hivi ndiyo unaingia makaburini halafu ukikatisha unatokelezea kanisani ndipo uingie barabarani.
Sasa nilikuwa nakatisha hapo usiku wa saa 5. Dah! Ile naangalia mbele, naona kitu kireefu, kama vile kimevaa kanzu nyeupe hivi. Sasa kikakaa kama kinainamainama. Ndiyo kipo karibu na mwanzo wa makaburi, upande wa watoto wadogo. Kulikuwaga na usemi kuwa watoto wengi walikuwa wamekufa kwa kulogwa. Nikakiona kama kile kitu kinashuka chini na kupanda. Nilipopiga mahesabu, kurudi nilikotoka mbali sana tena hatari ya mbwa wakali. Nikikaa hapa, hiki kitu kama kinakuja taratiib kunifuata.
Nilikuwa na bia zangu 4, nikaona nizibugie haraka ka ni kufa, nisisikie kiu njiani. Nkafungua moja haraka kwa meno, nkaimimina ka namiminia kwenye radiator. Nkamimina ya pili haraka. Ghafula nkasikia ka ubaridi flan hivi. Dah! Kucheki, yule mtu kishafika karibu kabisaa. Nilitoka ndukiii. Kwenda mbele kwa mbele ili nikafie huko huko kaburini. Nilipita ka risasi. Kufika mbele, kwa sababu nilikuwa nakimbia, si nikaamsha mbwa wa baba Paroko. Walinifuata, lakini nakwambia, hofu na woga ulinipaisha kama umeme. Nilikimbia kama kilometa 2 ndio nikapumzika. Nikamalizia zile chupa mbili.
Asubuhi nimerudi pale makaburini, kumbe ilikuwa nguzo mpya imeegemea mti. Upepo ulipopiga ukautikisa ule mti nikaona ka mtu anatembea. Woga na fikira zaweza kuumba mtu ghafla.
 
Mimi ni monk nimekaa monastery miaka mitano nikipractice haya mambo. ..nilichokwepa ni kutiwa tu mhuri kwenye ordination ceremony
 
pole saana.
 
kuna kisa cha kijinga sana cha wakati wa kubalehe tukivyokuwa tunafanyia mabinti ya kijijini kwa kutengeneza vinyago na kuvitega njia ya kwenda mtoni
Nia yetu ilikuwa tuwatishe ili waombe msaada wa 'kusindikizwa kwa makubaliano maalum '...nafikiri umenisoma
 
Kumbe wewe ni jipu
 
Ehh nipe ma adventure yao
Aisee ww kaka kichwa yako hadi nimetamani tu swap uchukue yangu. Maana una utajiri wa mambo sijui unautumiaga!!!! sekta ya walozi umoo waganga umooo hadi ma monk umoo anzisha darasa pulizii. Afu nitakua mpokea fedha za wanafunzi ....
 
pesa itatuchonganisha pesa haina shirika, tutakosa kuaminiwa, kuaminika na kuaminiana kama ni leisure class niko tayari a sort of club ya kuambizana weird things...I think it will be very very fantastic
 
Count me in tafadhali hiyo leisure class....dunia ina mambo zaidi ya tuionavyo
 
Nimejaribu mara nyingi ku establish kitu kinaitwa Mult-faith research Society lakini mambo yanakuwa mengi ila kwakuwa nia ipo usijali
 
Mwenye kujitahidi hufanikiwa..nimeiona post ya 7 Aug 15 kumbe!
 
Back
Top Bottom