Hata baadhi ya ndoto mbaya na majinamizi hutokana na kulala kizani na kuwaza mambo ya kutisha
ndio maana mara nyingi watu wenye hofu na giza hushauriwa walale bila kuzima taa..kitu ambacho kwangu ni mwiko kabisa![]()
![]()
hii picha no 3 haina tatizo sana japo ntaogopa mwanzoni ila ntajitahidi kushikilia.Duh hali hiyo huwa inanikuta sana aisee na inatishaHata baadhi ya ndoto mbaya na majinamizi hutokana na kulala kizani na kuwaza mambo ya kutisha
ndio maana mara nyingi watu wenye hofu na giza hushauriwa walale bila kuzima taa..kitu ambacho kwangu ni mwiko kabisa![]()
![]()
Huyu ndege huyu huku kwetu ni nuksi na mikosi ukimuona asubuhi nje ya nyumba yako lakini huko kwa wachina ni bonge la bahatiZamani nikingali motto ilikuwa nikimuona bundi mwili unasisimuka.
Nasikia ukipita mahali nywele zikasisimka huwa kuna vitu vya kishirikina, ni kweli?Huyu ndege huyu huku kwetu ni nuksi na mikosi ukimuona asubuhi nje ya nyumba yako lakini huko kwa wachina ni bonge la bahati
Japo hizi ni imani tu kutokana na tamaduni mbalimbali lakini imani huumba
Aseee, naona nimejiongezea percent za uogaVya kishirikina vyenye kudhuru na mwili hupewa tahadhari
Wewe wakati nasikia ukitembea na hayo madude ndo unawaona wachawi wakiride fisi wao, unataka nichizikeTembea na ndukele woga wote utaisha
Sa hapo umeogopa nini na wewe? USHAAMBIWA HUWA TUNAJITISHA WENYEWE!Aseee, naona nimejiongezea percent za uoga
Si unaomba lift! Haaa. Haaa. Haaa.Wewe wakati nasikia ukitembea na hayo madude ndo unawaona wachawi wakiride fisi wao, unataka nichizike
Kuona maumbo ni kujitisha, ila hiyo ya kusisimua nywele mtaalamu kasema "tawile"Sa hapo umeogopa nini na wewe? USHAAMBIWA HUWA TUNAJITISHA WENYEWE!
TobaaaaHapana ni mpaka ufanye hivi
Ubebe ndukele
Ubadili nguo uivae tofauti au hata viatu Ufambe
Halafu usipepese macho