Kiza hutengeneza maumbo?

Kiza hutengeneza maumbo?

mshana jr kweli kabisa sio matukio yote ya usiku ni halisi, mengine ni fake ile mbaya. Jana usiku nikikutana na kabinti kamoja, kako feki kila kitu, hadi kwenye soda kanaweka pilipili eti kamekaa sana India

Ha ha haaaaaaa jamani yani watu sijui mnawazaga nini!
 
pic namba 3 nimeipenda hata ikinitokea haina shida unakuwa umelala huku unapata raha.
Ndoto jamii hii lzm upatwe na mabadiliko ya kiumbo na ukiamka umeharibu mazingira ila na raha juu yake
 
Hizo ndoto za majini na majinamizi sijawahi kuota. Tena nikiwa na ndovu kadhaa burdaani.

Hakuna vibwengo wala majini, ni kujitisha tu. Mara nyingi nalala peke yangu, kuna nyakati Mtu akinitembelea anashangaa "unalalaje peke yako hapa, huogopi?"
Ukipata kazi mochwari utafanya?
 
Aisee hii kitu ipo kweli na hawa wadudu wapo katika mikusanyiko yetu wakifanya shughuli zao kama tufanyazo....Ila usiombe uingie kwenye 18 zao.
 
Nimekosa pa kukuulizia hili swali naliweka hapa Mshanajr.
Nimesikia kuwa mawe (vito)yanasemwa yana connection na mwanadamu na kila mwanadamu huwa analo jiwe lake maalum na kuna wataalam haaswa wenye kuyajua mawe na mtuwe. Unaweza kujivalia jiwe likakuumiza na ukawa demoted badala ya kuwa promoted in all different social sphere, na unaweza ukavaa jiwe ukawa promoted bila hata ya wewe kujijua....Mfano Tanzanite unaweza ukawa unafanya meditation huku umeishika mkononi ikakusaidia kuongeze psychic powers.
Swali je, unaujuzi wowote kwa sualaa hili, pls share.
 
Kuna mahusiano kati ya mawe mwanadamu lakini sio yote lakini kiuhalisia ni kwamba ni connection na kuzimu kuna jiwe la quartz hili waweza kaa nalo nyumbani bila shida
Nimekosa pa kukuulizia hili swali naliweka hapa Mshanajr.
Nimesikia kuwa mawe (vito)yanasemwa yana connection na mwanadamu na kila mwanadamu huwa analo jiwe lake maalum na kuna wataalam haaswa wenye kuyajua mawe na mtuwe. Unaweza kujivalia jiwe likakuumiza na ukawa demoted badala ya kuwa promoted in all different social sphere, na unaweza ukavaa jiwe ukawa promoted bila hata ya wewe kujijua....Mfano Tanzanite unaweza ukawa unafanya meditation huku umeishika mkononi ikakusaidia kuongeze psychic powers.
Swali je, unaujuzi wowote kwa sualaa hili, pls share.
 
So hata theory ya kumeditate huku umeshika tanzanite ni maagano na kuzimu.???
 
Kuzimu tena
1462096827921.jpg
 
So hata theory ya kumeditate huku umeshika tanzanite ni maagano na kuzimu.???
Meditation ni kama bhangi Inategemea una meditate kwa lengo gani
Kuna wakristo wana meditate
Kuna waislam wana meditate
Kuna wahindu mabudha na hata wasio na dini
Lakini kuna tofauti kubwa kati ya hizo meditation kati ya wanaomwamini Mungu na wasio mwamini
Lengo la meditation primarily ni ku attain tranquility of the mind wakati secondary goal ni kumiliki supernatural powers na mwisho kabisa kufikia madaraja ya juu kama arahant na budhahead na mwishowe kuondoka kwenye mzunguko wa samsara ( birth->>>death->>>birth in the realm of permenent suffering)
Nimechanganya lugha niwie radhi
Kwahiyo unaweza kuona kuwa meditation haina ukomo na ni kama inakwenda kinyume na Mwenyezi Mungu ndio maana meditators wengi ni wale wasioamini katika Mungu
 
Back
Top Bottom