GE2010 Kiyabo "arejea" CCM

asubuhi NAKAAYA.....jioni KIYABO... haya tunasubiri usiku.....
 
Hizi njaa za Tanzania ni balaa kweli kweli. Kama uliamua kwenda kuanzisha chama cha upinzani, kisha unarudi tena kwenye chama ulichokuwa unakipinga within a year basi utakuwa mgonjwa wa UBONGO.


muone kwanza na shuti yake ya KIPAIMARA...!
 
Mtanzania anayejiamini na mwenye uwezo wa kutumia elimu yake kujipatia mkate wake wa siku hawezi kufanya ujinga kama huu.
 
mwaka huu kweli kiti kimoja mkipata shukuruni

hali ni mbaya kila idara
 
Duh!
kuelekea Oktoba 31 tutaona rangi zote za spectrum!
Anyway, niulize tu..na huyu dau lake ni ngapi kwenye ile nyota #6? mil. 6 au mil. 60?
Naona makamba hana utani, leo amevaa chui kabisa.. true colours in deed!!
 
Duh!
kuelekea Oktoba 31 tutaona rangi zote za spectrum!
Anyway, niulize tu..na huyu dau lake ni ngapi kwenye ile nyota #6? mil. 6 au mil. 60?
Naona makamba hana utani, leo amevaa chui kabisa.. true colours in deed!!

Huyu hakuwa tishio hata kidogo, nadhani atapewa tu chakula cha mchana na kupiga picha na katibu mkuu wa CCM kama kumbukumbu yake.
 
Niliwahi kusema... the only thing jamaa wa CCJ walichopatia ilikuwa uchaguzi wa jina yaan "Chama Cha Jamii" the rest was mauzauza... sasa subiri mpasuko wa CHADEMA baada ya uchaguzi.... mungu tuepushie...
 
Niliwahi kusema... the only thing jamaa wa CCJ walichopatia ilikuwa uchaguzi wa jina yaan "Chama Cha Jamii" the rest was mauzauza... sasa subiri mpasuko wa CHADEMA baada ya uchaguzi.... mungu tuepushie...
Mpasuko upi na wao wanaingia IKULU?
 
Siasa na Wanasiasa yaani naona mauzauza tu :confused2::confused2::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:ngoja niendelee zangu:violin:kuliko kuumiza kichwa bure
 
wewe wasema....jibu utalipata tarehe 31-10-2010....


na si uongo wengine watakimbia hapa

wengine watasema tume ya ccm

wengine watasema wananchi wajinga, hali viongozi hawajiamini wanalimbia jee maamuma?


NA ZITTO YUKO NNJIANI
 
CCJ wa hoax wenye utimamu wa akili wote wana elewa hilo. Kiyabo ni big joke kashindwa ku organise wanachama 200 tu pale Mwembeyanga na kuishia kupata wanachama 30!

Hata huko CCM anajipendekeza tu hana cha kuongeza wala kupunguza
 
50,000,0000,000 ina fanya kazi kununua kila mtu mwenye influence kwa thamani yake. Hata mimi wakinipa zote hizo nitavaa kapelo la kijani pia. Lakini kura yangu itakwenda kule yalipo manufaa ya wajukuu zangu
 
Nadhani alikosa nafasi ya jikoni CHADEMA ambapo walishamstukia na kumweka benchi.
Hongera zake kwa kudhihirisha UCHU wake hadharani
Huyu jamaa ni njaa ya siasa CCJ- Chadema-NRA-CCM kwanini atulii sehemu moja.kwa sasa CCM lazima wambebe katika kampeni pamoja na JK au Galib.
Wanasiasa ttuwe na msimamo na sio kuhamahama kama mbayuwayu.
 

He heee! Ha ha haaa! Now I can enjoy my beer comfortably. I was among the first (if not the first) to say CCJ is a hoax. "Ilianza kwa mkwara mkubwa, CCJ; ikafa kwa mkwara mkubwa, CCK."

Mwanakijiji nawe unataka kuwa kama Zitto. Huyu bwana (Zitto) nimeshamtilia mashaka, kama nilivyoitilia mashaka CCJ.
 
napenda kumuuuliza Mpendazoe, wakati unaenda CCJ ulifikiria kwa makini"??????????????? au ... maana Kiyabo tayari ndani ya CCM.. au ulistuka ukaamua kuamia chap chap chadema... baki huko huko Chadema na pigania jimbo Segerea!!

Duh, Maweee! yesuuuu! mungu wangu! mpaka naogopa!!!!!
 
Hizi njaa za Tanzania ni balaa kweli kweli. Kama uliamua kwenda kuanzisha chama cha upinzani, kisha unarudi tena kwenye chama ulichokuwa unakipinga within a year basi utakuwa mgonjwa wa UBONGO.


.
Duh! Kumbe jamaa mwenyewe ni huyu? Huyu mtu miaka ya 90's nilikuwa namkuta kwenye ile mihadhara ya usiku (kubishania dini) eneo la mnazi mmoja.
Mshikaji anakamata kila tawi huenda mojawapo likamwokoa. Ila njaa inapozidi na kuionyesha wazi wazi inakuondolea kuaminiwa na watu.
 
duh! huyu lazima alitumwa na bila shaka waliwasiliana na mwenzie Nakaaya kuwa watoke kiivi!
typically hapa ni njaa tuu ndo zinawafanya wakimbiekimbie kama kunguru leo mti huu kesho ule hafugiki!
My worry ni kuhusu hawa wengine waliojiunga na upinzani baada ya kutoswa na ccm, kwani alama za nyakati zinaonesha kuwa they will follow suit!
2ngepitisha sheria kwa anayehama chama akashtakiwa kwa kutupotezea timing wananchi!
damn him!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…