Kiwira Kumekucha

nasikia watu walikuwa wanashangilia ....RAIS!! RAIS! RAIS..kila alipokatiza Zitto!!

Acha umagamba na uongo wako mimi niko kiwila hapa hamna kitu kama hicho hawa magamba wameishiwa sera zitto hajapokewa kama rais kapokewa kama naibu katibu mkuu usilete uchonganishi humu ili watu wamchukie zitto humu Jf.
 
sisi hatujali kapokelewa kama rais au katibu tunachotaka ni kuipiga chini ccm hayo ya urais hata watangaze kumi mda wake utafika tuu
 
Acha ulevi wa fikra mbovu bana Zito anaweza na ni mtu makini tatizo anafikiri beyond other people's thinking capacity hivyo hamumuelewi jamaa nampa 100% ANAWEZA

Chadema tunakwenda vizuri lakini tatizo letu litasababishwa na huyu jamaa ndumilakuwili
 
Mpaka kitaeleweka safari hii mashambulizi toka pande zote nne za dunia Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez

Good Step towards kuikamata Dola
 
Kiwira CDM wana mtaji mwingine, nadhani ni sehemu ya asili ya makamu mwenyekiti mwanzilishi Brown Ngwilulupi hiyo ni point of adtn ya nguvu, lakini kwa ujumla huko CDM wanaeleweka saana kushinda ni over 60%.
 
Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Zitto Kabwe.....!! raha iliyoje kuwa na Rais kijana.

Unacheza wewe... Zitto Akiwa Rais 2015 najiuzulu utanzania wangu Nakuwa Mu-Israel Fully.

Bado CHADEMA Haijakua kiasi cha kutoa Rais wa hii Nchi. Akigombea Urais sana sana atakisaidia chama kuongeza idadi ya wabunge thats all. Kama kweli anataka kudumu kwenye siasa za Nchi hii atulie hapo kwenye ubunge wake atleat miaka mitano zaidi asome ramani upya, kwa sasa asijidanganye.

Ukweli usiopingika ni kuwa watanzania kwa sasa hawaangalii atakaegombea kutoka Upinzani ni nani, wanachofuatalia ni nani atasimama from CCM kupambana na Upinzani.

For Now ZZK anapoteza muda tu kujitangazia nia.
 
Zitto naona kama upo hapa jamvini, nadhani huko vita sio kubwa saana, hayo ni maeneo ya hm nayafahamu! ukujenga hoja za nguvu badara ya 60% CDM itaibuka na 90% huko inakubarika saana!
 
Nawakumbusha tena kwa mara ya mwisho nyie msiosoma na kutafasiri kwa umakini. ZITTO aliandika hivi "NDIYO' NAWEZA KUWA RAIS. Na baadaye yakafuatia maelezo mareeefu ya kujibu makala ya Mwandishi mmoja aliyemwandika yeye na January Makamba. Nyiemmeng'ang'ania kuwa katangaza kugombea....watu wanatangaza au wanaomba kupitishwa na vyama vyao kwa hatua ama vinyang'anyiro vya hapa na pale(hatua mbalimbali)!! Nawashangaa saaaana.
 
Yaani hao watu wa kiwila inabidi wawape CCM zero kabisa maana mgodi wa kiwila uko Idle kitambo as a result ata maisha yao yameghafilika kwa kiasi kikubwa.
Mgodi ulikuwa na impact sio tuu kitaifa but Kyela na Rungwe walikuwa wanakula shavu sana apo!

Huo mgodi haupo kiwira hii. Hii ni kata kiwira ile ni eneo la maka ya mawe huko kyela wakati hii kata ipo wilaya ya Rungwe
 
Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Zitto Kabwe.....!! raha iliyoje kuwa na Rais kijana.
Hata kikwete aliomba urais kwa hoja ya ujana kwani amekufanyia nini mpaka sasa cha maana
 
Back
Top Bottom