Kiwira Kumekucha

Labda wakuu wa mikoa waanze kuchaguliwa. Hili hawa jamaa wengine wakaanze kuonyesha matokeo kwenye mikoa yao. Maana hata mimi naanza kuhisi nautaka urais.
 
Hautakiwi kutumia hisia, unapaswa kujitambua
 
mnaona mmesahau kuzungumzia ya Kiwira mmbakia kuzungumzia ya Urais! Ningependa kujua amewaambia nini Kiwira; changamoto za huko ni nini; yaani hata jina la mgombea wa CDM huko Kiwira halipo!!! grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
MMM,
Ndio uone watanzania tunavyoongozwa na ushabiki kuliko masuala ya muhimu kwa maendeleo ya nchi.
Kuna changamoto nyingi sana uko, imagine watoto wa shule wanachangishwa sh 2,500 kila mmoja kwa ajili ya kununua chaki! Wananchi wanaonekana kuielewa CHADEMA Kiwira, kuna voice clip itabidi kufanya mpango wa ku upload. One of the good speeches. Nchi hii haswa maeneo ya vijijini hali bado ni mbaya sana
 
sasa thats my point; kwa mfano wengi wetu tu likuwa hata hatujui kuwa kuna kugombea udiwani Kiwira. Sasa tungeambiwa mazingira yakoje, CDM imefanya nini? Zitto amefanya nini zaidi ya kuhutubia na katika kuhutubia amewahamasha watu kumchagua nani.. badala yake tunalazimishwa kuzungumzia mambo ya "Urais" ambao unakuja 2015 ambao hadi hivi sasa Zitto hawezi kugombea so in reality tunazungumzia urais wa 2020! Naomba tupe taarifa za huko zikoje, na tathmini yenu ikoje.. haya mengine yatakuja kwa wakati wake.
 
Ndio sababu nilikataza watu kujadili masuala ya urais kwenye hii thread,
habari kamili zitawekwa mkuu, communication ni suala muhimu sana. Mfano vijibweni alishaenda Zitto na Mnyika lakini hapa jukwaani hatukupata taarifa za kutosha, zaidi tukibahatika ndio kama hivi tunaambulia picha. Inabidi tuwashauri ikiwezekana wawe wanablog tupate taarifa kamili. Angalau hizi za Zitto huwa tunazipata kupitia twitter na FB japo zinakuwa sio exhaustive.
Tatizo linalowakabili nafikiri ni muda, naona wanakuwa na muda mchache, mfano leo Zitto atakuwa kata ya Lizaboni Songea, halafu apite Tanga, na amalizie Mwanza jumamosi. Tutajitahidi kushare taarifa kadri zinavyopatikana.
 
Aliposema sitapiga kampeni Arumeru, watu hawakumuelewa!

chadema ilimuelewa kwa kuwa ina ratiba zote... Kabla ya matukio ndo mana juzi mwigulu chopa ya chadema ilivyopita juu ya mkutano wa ccm ye akamtukana dr. Kumbe alikuwa mbowe kwenye chopa
 
kaka mi nilikuwepo hapo aliyeshika kamera mbele hapo ni mimi nina habari kibao za picha kabisa lakin siwezi kuziatache baada ya hapo kulifanyika maandamano makubwa ajabu
 
Wananchi mikoani wanafunguka na kurudisha kadi za CCM.... peopleeeeeeeeeeeeeessssssssssssssssss
 
Back
Top Bottom