Kiwewe ! Kiwewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwewe ! Kiwewe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Calist, Feb 28, 2011.

 1. C

  Calist Senior Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaandika sms nzuuri ya kuisifia nyumba ndogo yako, unakosea unaituma kwa mkeo wa kweli naye baada ya kuisoma anakupigia kukushukuru kwa sms nzuri uliyomtumia, kwa kuwa hukuwa umelenga kuituma kwake unashikwa na kiwewe unajibu hivi, ' samahani mke wangu sms haikuwa yakwako - hilo zali unalipoza kivipi ?
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Du! hii mada ungeipeleka kule jukwaa la mahusiano ingepata wachangiaji wengi sana na hivyo tungejifunza mengi mno.
   
 3. L

  Lady G JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  inategemea sms hiyo kama haukutaja jina la nyumba ndogo, my wife wako atajua imemlenga yeye, nadhani hapo hupaswi kuwa na kiwewe wala hofu. Kinachohitajika kwako ni kujiamini ku explain utakapomface baadae.
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huyo jamaa alikuwa f**a tu, kimazingira kitendo cha mke kupiga kumshukuru ina maana haikuwa na jina... hapo ilikuwa ni ku-appreciate shukrani unazopewa, though unajua msg haikuwa yake!!!!:rain:
   
 5. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  unazuga ulimzuga....
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hapo chacha
   
 7. P

  Pokola JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  :rain:
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,897
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Unanikumbusha kisa cha mke aliyempa zawadi ya boxers 10 mumewe kisha mume akalalamika mbona umeniletea za rangi moja?Mke akauliza kwani kuna tatizo zikiwa za rangi moja?Na mume akajibu kuwa tatizo lipo sana tu si watajua nina boxer moja tu..
   
 9. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hahahahah....hapo kuna kazi!
   
 10. Nailyne

  Nailyne JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nahisi palichimbika!
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kama hukuandika jina la nyumba ndogo haina tatizo.
   
 12. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mwizi zake ni arobaini tuu:wink2:
   
 13. LD

  LD JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi naruhusiwa kucheka!!!!
   
 14. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,653
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Sitaki kuamini ina maana nimepotea njia humu, nilijua niko ndani ya jukwaa la mahusiano, mapenzi n.k, du ngoja nichomke fasta
   
 15. czar

  czar JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nani aliyekwambia ujibu kuwa sms sio yake? Nani? Inaonyesha ulitaka bifu na mkeo sasa pambana ushauri wa nn.
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,897
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Ruksa mama...................
   
Loading...