Kiwanja kiwanja, mwanza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kiwanja, mwanza.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Wababa, Nov 14, 2011.

 1. W

  Wababa Senior Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hbr gani wanajamvini! Jamani mwenzio naishi geita mkoani mwanza, kwa wale wenyeji wa mwanza....! Natafuta kiwanja cha size ya kati ndani ya jiji la mwanza, pls am serious jamani kama kuna yeyote anauza uwanja anifahamishe pls sehem na bei ni tsh ngapi? Maeneo nayopendelea ni busweru, mkolani, nyegezi, kishiri, na sehem nyingine ambazo hazipo mbali sana na mji. Pia viwanja vya kimagumashi vya kuuziana mara saba watu tofauti sivitaki.
   
 2. M

  Melanoxylon Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Una ofa gani ninacho nyamh'ongolo low density
   
 3. W

  Wababa Senior Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakusikiliza wewe mkuu, 4sure nipo serious sana mkubwa
   
 4. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Nina uwanja size ni 20 x30 bei ni 5m kipo Bugarika area Block 4 Mwnza town
   
 5. F

  Fideline JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  @ Tutor B sema bei
   
 6. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Hukusoma vizuri Mkuu nimekuandikia 5m maana yake Tshs. milioni tano cash. Kama vipi tupeane contact tuweze kuongea private!
   
Loading...