Plot4Sale Kiwanja chenye title deed ya industrial linauzwa

poking

Member
Jun 16, 2014
18
1
Habarini za usiku wa Leo.kiwanja chenye title ya industrial kinauzwa kunduchi kama unaelekea bahari beach karibu na chuo cha usalama.kina sq m 7400.ambae atapenda kukiona au kujua bei anicheki
 
Wewe ndo unafanya utani na pesa ya watu! Weka further details. Kiwanja kinauzwa bei gani. If possible weka picha.

Kwenye biashara it is all about attraction. Ndo maana Siku hizi online shopping imetamalaki.
 
Pia mimi ninachokiwanja chenye title deed ya industrial area maeneo ya capripoint Mwanza vipo viwili jumla vyote ni mil 420 tu karibu kwa simu 0763772636 WhatsApp
a36a9debab13a7a15424de0a68b85619.jpg
 
Back
Top Bottom