golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
- Thread starter
- #81
poaUsijari mkuu utapata tu. Nitakuchek kwenye ile mishe ya madin
poaUsijari mkuu utapata tu. Nitakuchek kwenye ile mishe ya madin
Kwahyo huyo kwenye avatar ni ww?Chanika mbali. Kila la kheli brow![]()
Mbali kutoka wapi. AsanteChanika mbali. Kila la kheli brow![]()
Habari yako mkuu? Mbona namba zako hazipo?Mbali kutoka wapi. Asante
Nimekutumia,Habari yako mkuu? Mbona namba zako hazipo?
Asante mkuuIko vizuri utauza bila shida ndugu
Niko mbali, siko dar na shida ndio imenijia kipindi hiki. Unaweza jenga vyumba zaidi ya sita kwa upande wa kushoto na mbele, na parking inabakia kubwa tuPiga picha za sasa hivi, Hizo unasema za 2013, Je kuna eneo linabaki kwa kujenga fensi na gari?