golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
- Thread starter
- #21
Karibuni Kwa ofa zenu.
OK typing errortying error
Ipo wap mkuu ni pm bas![]()
Kuna nyingine hii inataka ml7
Kiko wapi na je kina Hati?![]()
Kuna nyingine hii inataka ml7
Kipo chanika.. hapo bado bati na madirisha tu maana hadi shimo la choo limeshajengwa.. hati ipo ya kijj maana kuna kipindi nilikua nataka kufatilia mambo ya hati nikapata safariKiko wapi na je kina Hati?
Ipo chanikaIpo wap mkuu ni pm bas
Ina vyumba vingap mkuu na ukubwa wa kiwanjaKipo chanika.. hapo bado bati na madirisha tu maana hadi shimo la choo limeshajengwa.. hati ipo ya kijj maana kuna kipindi nilikua nataka kufatilia mambo ya hati nikapata safari
HakunaHakuna x yyte maeneo hayo mkuu
Vyumba vingap mkuuIpo chanika
Iyo ni master moja.. ina jiko sitng rm na choo cha pblc.. niliijenga kwa pembeni ili baadae niweze kujenga nyumba kubwa maana bado nafasi ipo kubwaVyumba vingap mkuu
Mkuu hebu njoo pm tuyajenge ukubwa wa eneo plzIyo ni master moja.. ina jiko sitng rm na choo cha pblc.. niliijenga kwa pembeni ili baadae niweze kujenga nyumba kubwa maana bado nafasi ipo kubwa
Unatoa taarifa ama unauliza?Wakuu Kiwanja bado kipo