Kiwanja chenye msingi kinauzwa 6.5m

Kiwanja chenye msingi kinauzwa 6.5m

SASA KINAUZWA KWA UTARATIBU WA INSTALLMENTS

KARIBUNI KWA OFA ZENU

0716411720
 
KINAUZWA KWA UTARATIBU WA MALIPO YA AWAMU

0716411720

NB: ADA NA SHIDA NYINGINEZO NI MATESO
 
Ndipo E="nasssen, post: 25018358, member: 97432"]Sasa mkuu huo msingi ndo umefanya bei iwe hivyo?[/QUOTE]
Ndio maana kuna mazungumzo, na bei ya sasa imeshuka, Hali sio nzuri. Bei ya sasa 5.7m, tena Kwa awamu
 
[QUOgope TE="nasssen, post: 25018358, member: 97432"]Sasa mkuu huo msingi ndo umefanya bei iwe hivyo?[/QUOTE]
Usiogope wito, ogopa neno. Mazungumzo yapo. 5.7m kutoka na hali
 
Nakupa M4 net tusidaiane.
Angalizo; kisiwe na magumashi ya kina "kitomari" otherwise bereta itakuhusu make sitakagi ujinga mimi hela yenyewe napata kwa mbinde kwelikweli.
 
[QUOTNNE Kisima, post: 25018501, member: 27645"]Nakupa M4 net tusidaiane.
Angalizo; kisiwe na magumashi ya kina "kitomari" otherwise bereta itakuhusu make sitakagi ujinga mimi hela yenyewe napata kwa mbinde kwelikweli.[/QUOTE]
Mkuu nne hapana, nimekataa tano. Kiwanja ni changu, nikufanyie uhuni ili iweje. Mimi nafahamika humu, na pia sio MTU Nina heshima zangu. Wewe kama unahitaji, toa 5.7m
tena Kwa awamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom