golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
- Thread starter
- #61
Mkuu kwanini unasema mimi sina shida, nina shida ndio maana nakiuzaWewe huna shida. Endelea kupiga debe tu.
Mkuu kwanini unasema mimi sina shida, nina shida ndio maana nakiuzaWewe huna shida. Endelea kupiga debe tu.
Unataka uongezee mtaji kule eti?Mkuu kwanini unasema mimi sina shida, nina shida ndio maana nakiuza
Kimfaacho mtu chakeWatu na viwanja vyao! Dahh vyuma vimegongelewa misumari ya chuma...sio mbaya uzeni akiondoka huyu jamaa tutanunua vyengine
Nina shida, pamoja na hilo, wewe unanipataUnataka uongezee mtaji kule eti?
AsanteWatu na viwanja vyao! Dahh vyuma vimegongelewa misumari ya chuma...sio mbaya uzeni akiondoka huyu jamaa tutanunua vyengine
Mkuu acha kuzuga umenisahau kwel ama kejeli tu. Tuliongea kuhusu ile Ishu ya madiniNina shida, pamoja na hilo, wewe unanipata
Ndio maana nimekuambia we unanipata, yaani unanijuaMkuu acha kuzuga umenisahau kwel ama kejeli tu. Tuliongea kuhusu ile Ishu ya madini
Nitumie namba zako pmNdio maana nimekuambia we unanipata, yaani unanijua
Mkuu nakutumia, ila hata hapa kwenye hilo tangazo zipoNitumie namba zako pm
Kama cha - Urithi sikitakiWakuu poleni na majukumu,
Kimfaacho mtu chake. Nauza eneo langu ambalo lina msingi wa nyumba
Sifa za eneo
-Lipo chanika zogo Ali
-Umeme nguzo tayari
-Vyumba vitatu, master moja, dinning, sebule, public toilet,jiko na store
-Ukubwa wa kiwanja 20*20
-Linafikika kwa gari
-Umbali ni 1km kutoka chanika mwisho stand
-Mabaki ya ujenzi, tofali, na kokoto vipo
-Msingi ni imara, nondo 12mm nne kila upande
NB: HIZI NI PICHA ZA 2013,
Nauza kwa sababu ya shida zinazonikabili, bei 6.5m
Hela ya mjumbe na mwenyekiti wa mtaa, nitatoa mimi
View attachment 644576
View attachment 644578
View attachment 644580
View attachment 644582
Du we jamaa mkorofivyuma!?
Mkuu kiwanja nimenunua mwenyewe, docs zote zipo. We kama unakihitaji nicheki hewani tujadiliKama cha - Urithi sikitaki
Amina

2.5m nikuchekMkuu asante kwa ofa yake. Still looking for the attractive one.
Acha Maujinga2.5m nikuchek
Asante boss!!Acha Maujinga
Usijari mkuu utapata tu. Nitakuchek kwenye ile mishe ya madinKaribuni wadau