Kiwanja chenye msingi kinauzwa 6.5m

Kiwanja chenye msingi kinauzwa 6.5m

Njoo nikupe kiwanja mbez msumi jirani na shule ya secondary mbopo umeme upo na maji ukubwa wake ni 20*23 metres . . . 6 milioni
 
Amadoli said:
Njoo nikupe kiwanja mbez msumi jirani na shule ya secondary mbopo umeme upo na maji ukubwa wake ni 20*23 metres . . . 6 milioni
Mwombe Mungu ingawa umeingia kwenye Uzi wangu.
 
Mi nataka ila uwoga wa kutapeliwa, hela yenyewe imekuwa ngumu kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom