Kiwanja chenye msingi kinauzwa 6.5m

Kiwanja chenye msingi kinauzwa 6.5m

Nakupa M4 net tusidaiane.
Angalizo; kisiwe na magumashi ya kina "kitomari" otherwise bereta itakuhusu make sitakagi ujinga mimi hela yenyewe napata kwa mbinde kwelikweli.
Toa 4m, nyingine 1.7m utamalizia.
 
Mkuu documents zinafafanulikaje? Maana kwa hawa viongozi wa mtaa ni magumashi sana! Toa ufafanuzi kisha tuhamie pm mhandisi
Mkuu kila kitu kipo sawa, kila kitu kinaelezewa, we njoo pm
 
Mkuu documents zinafafanulikaje? Maana kwa hawa viongozi wa mtaa ni magumashi sana! Toa ufafanuzi kisha tuhamie pm mhandisi
Mwenye mali, mnunuaji, mashahidi, mwenyekiti wamtaa, wote tunasaini. Pia kuna fomu maalumza halmashauri, ndio wanatumia wenyeviti wa mtaa
 
IMG-20180107-WA0000[1].jpg

IMG-20180107-WA0004[1].jpg


IMG-20180107-WA0001[1].jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom