Mtoto wa Mkulima
JF-Expert Member
- Apr 12, 2007
- 681
- 143
Kumbe kuna watu wako kwenye payrol,basi kweli bongo inachunwa,kwani icho chombo kisibadili mitaala inakuwaje masomo mengi yote bado wanatumia vitabu vya miaka 47,kwa nini elimu aiendani na wakati.nimepata nafasi ya kuongea na wahitimu wa vyuo vyetu bongo,wengi wao wanaonekana hawajiamini,awawezi hata kujieleza,mtu kasomea uchumi ajawahi hata siku moja kufanya kazi sehemu yoyote ile,katika masomo ayo kasomea tax returns jinsi ya kutengeneza tax returns,ambazo sidhani wengi wao kama watafanyia kazi,hivi kwa nini mwanafunzi wa chuo anayejifunza mambo ya kujenga na kuchora michoro ya ujenzi wasipate ata mienzi 3 ya kufanya kazi katika shirika la nyumba ili apate kufanya kwa vitendo vitu alivyosoma,matokeo yake utakuta mtu ambaye hakusoma hata kidogo anatengeneza michoro na kujenga nyumba vizuri kuliko yule aliyepoteza miaka 5 chuoni.
Cha kusikitisha zaidi watunafunzi wengi Bongo ni wezi wa mitiani,utakuta mtu anaiba kuanzia darasa la saba mpaka chuo,walimu kuuza au kuonga majibu ya mitihani ya taifa,matokeo yake tunawasomi wengi feki wasio na uwezo wowote na ndio maana nchi inazidi kuwa masikini,mtu anatumwa akanunue mashine ya umeme badala ya kuangalia price ya mashine ile kila nchi inauzwa kiasi gani atatoa dili na tutanunua 4x ya thamani alisi ya kitu hicho,mfano Richimond,Rada,pantoni,ndege,nk .

Wewe unasema hivyo wakati chuo kikuu hata mambo ya field wanajaribu kuyaondoa kisa wanadai serikali haina pesa. Mwanafunzi wa Injinia anasoma miaka mitano bila field this is crzy. Kunawakati nakumbuka Prof. Kweka R.I.P alikuwa anauliza kwanini tusiwaatach wanafunzi wa engineering wakati barabara za chuo kikuu zinztengenezwa nadhani walimuona ni kichaa. Mitihani inaibiwa kwa kushirikiana na wazazi, walimu, maprofessor na wanafunzi hii ni kansa kwa taifa letu. Degree feki zimejaa hata kwa watawala wetu kama mawaziri na wabunge sasa tunategemea nini?
Degree feki zimejaa
CoE wanafunzi (UD) wanasoma huku wakiwa wananing'inia madirishani, UCLAS ndiyo ishageuka Ardhi Univ na degree zake zinatia walakini, DIT nako wameshindwa kabisa kumtoa Prof Kondoro ambaye ana PhD ya Physics ilhali chuo ni cha Engineering; anawavuruga sana huyu na wafanyakazi wengi nasikia wanabwaga manyanga na kimeibuka chuo kingine cha St. Joseph college of Engineering ambacho kinapokea failures tupu ili mradi pesa. Hiki chuo sijui kinalenga wapi.
Hakuna chuo kingine kinatoa degree za Engineering? Serikali inatuletea wahandisi wa aina gani? Lakini UD kuna ujenzi unakaribia kuanza, mkubwa sana tu, hivyo msitie shaka kwani majengo yatapanuliwa, muhimu CoE wajitahidi kupunguza madesa (kuandika kwenye mapaja, makanzu, vibomu vya kwenye sketi/shati nyeupe n.k). Tuliosoma Law tunajua balaa lake. Safari ni ndefu, lakini tutafika
Tupo pamojaHebu fikiri una darasa la watu 100. ukiangalia course work na performance ya wanafunzi ktk masomo kadhaa utaona trend fulani. Lakini sasa ktk somo fulani tuseme asilimia 90 ya darasa wanafaulu kwa distinction. nadhani huu ni ushahidi wa kimazingira tosha kusababisha uchunguzi wa kina ufanyike. Katika mambo haya ya mitihani "The Bell curve" lazima itokee. yaani wachache wafaulu sana, wengi wanakuwa average na wachache mkiani.
ni mawazo tu from an experienced lecturer.
Asante