Kwangu mimi kama mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kama Kitenge(Kanga) ni
Boflo , Mchicha Mwiba , Mkasi , Wali nazi , Ngapulila , Washeli .
Jamaa ana wake wanne na mimi namjua demu wake mmoja alikuwa daily lazima aje kumuona wakati huo ananyoa kiduku nywele bado zipo kabla hajaanza kuwa na "UWALAZA".
Kwa mazoezi anayofanya kukimbia 21km daily kama mtu ni BOFLO asingeweza.