BangiNyeusi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 490
- 593
Hujui tu rahaaa gani Dada yako anaipata tulia Ww... bangi sio kama mnavoichukuliakinachoniuma sisi wenye dada, ndo unakuta dada yako kafa kaoza na mafunza anatoa kwa kijana kama huyo, ambaye si dira tu ya maisha hana hata hela ya kwenda kumezea mmea anachukua kwa dada yako, sasa unajiuliza wajomba zako watakuwaje maana shemeji ni hatari zaidi ya sumu ya teja. M
Mungu tupe uvumilivu..
Mwana umenikosha saana kwa hoja zako kuntu. Ukweli hii kitu ukiitumia freshi haina madhara kabisa sijui why watu wanaipinga daahKuna wengine baada ya hapo ni kazi, ukitaka kuona vizuri hili nenda vijijini ukaone maajabu ya hawa watu kwenye kazi, zamani mababu zetu walikua na nguvu kulima robo hekari mtu mmoja lilikua jambo la kawaida lakini siku hizi wanaweza wavuta bangi tu, jiulize kwanini hizi nguvu za asili zimeweza kuwa restored kwa bangi tu na sio pombe/sigara/unga
Hii kweli ganja ya kulia maskani sio poa mzee... ukinyeta full wengeSasa hapo usiombe ukasikia ''wazee wanakuja'' mbio zake ni balaa
ila kula hii kitu maskani sio poa maana stimu zinakua zinademadema kwa hofu ya poo----si
Njoo Maskani Kwenu Nikuonyshe MachimboHapo ni Maskani, hivi uhuni wa hivi bado upo tu mpaka karne hii!!
Hapana mkuu wala ganja wengi ni wastaarabu mno najua huwez kuamini ila ukweli ndo huonaona kimemea vilivyo,pita tu nakasmart kako utajua tu ni product gani inazalishwa hapo...😱
Naona Muonjaji mkuu kajiinamia hapo.
ina maana kipindi kile hawakutolewa mtaani! nani atakujafanya kazi kwenye viwanda vyetu
Sasa mkuu mbona unawapakazia wana maskani?
Kuna madhara gani hapo mkuu??nionyeshe na mimi niyaoneHalafu yanaibuka mamtu yanasema hayo madude hayana madhara!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!????? shame upon them