Kiwanda cha Maziwa Mara kiko wapi leo?

Kiwanda cha Maziwa Mara kiko wapi leo?

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,339
Reaction score
1,493
Habari za Tanzania !
Hivi nyinyi watu wa Mkoa wa Mara mmeamua kwa dhati kabisa Kiwanda Maziwa kiwafie kabisa ?

Haya sasa tutapata wapi Maziwa Mgando yenye vifungashio vizuri na matamu kweli dah.

Haya bana si ndio mambo yenu kuua viwanda vizuri na kuanzia viwanda vibanda vya kutuuzia maziwa mtaani ambavyo havifanyi vizuri kama hilo likiwanda la Maziwa ya Mara.

Karibu.
 
Acheni kupenda na kuendekeza anasa. Mbona kuna maji?
 
Nikajua umesahau mahali kilipo tukutumie location, kumbe anamaanisha uzalishaji wa maziwa. We ni mgeni hapa Bongo Bwashee? Viwanda vinakuwa sana hususan hivi viwanda vya mazao ya msingi.
 
Back
Top Bottom