Kiwanda cha kukamua alizeti

Kiwanda cha kukamua alizeti

alizeti

New Member
Joined
Jan 12, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Kuna kiwanda kidogo cha kukamua alizeti mjini Morogoro. Uwezo ni kukamua tani 6 kwa saa 10, hivyo kwa siku nzima ya saa 24 ni kukamua tani 12 hadi 14. Mafuta yanachujwa mara mbili. Wanatafutwa watu au mtu mwenye uwezo wa kuleta mbegu za alizeti zikamuliwe hapo kuanzia msimu wa alizeti wa mwaka huu wa 2012/13. Wenye nia ya dhati wanaweza kufanya mawasiliano kupitia barua pepe bkillagane@yahoo.com aumahelbsk@yahoo.com
 
maadamu umeweka kila kitu hapa ni vizuri pia ukatuwekea bei yenu ya kununua kwa tani!
 
Bado mnataka? Term zenu za malipo zipo vipi? Mnangia mikataba kisheria na mtu akiamua kuwaletea hizo mbegu?
 
Back
Top Bottom