Kivuko cha Kivukoni TEMESA

Kivuko cha Kivukoni TEMESA

Vickyhenry

New Member
Joined
Sep 29, 2019
Posts
3
Reaction score
0
Eti wadau tuliopeleka cv kwenye kivuko cha Kigamboni TEMESA vipi kuna watu waliopata taarifa yoyote kuhusu mrejesho wa kazi
 
Mimi nilijua sijui kimefanyaje huko loh..kumbe kazi!
 
Kumbe mleta mada ni kuku mgeni ana kamba mguuni
 
bado hawajatoa mrejesho Mkuu ata mimi nimetuma maombi hapo,tukutane siku ya interview Mkuu nategemea ushirirkiano wako
 
Et wadau tuliopeleka cv kwenye kivuko cha kigambon temesa vp kuna watu waliopata taarifa yoyote kuhusu mrejesho wa kaz
mtoto vick njoo pm...nawaza kwa sauti tu lazima utakuwa mweupe mrefu namba nane flan hiv amazing njoo pm mrembo tuone jins gan unapata kaz
 
Back
Top Bottom