Lexus SUV
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 5,130
- 6,360
THANK YOU LORD ,,,,,,, NGOJA NIKAJARIBUU UPENYO KAMA NTATOKA .Mwanangu vip umepigiwa
THANK YOU LORD ,,,,,,, NGOJA NIKAJARIBUU UPENYO KAMA NTATOKA .Mwanangu vip umepigiwa
Kwani kivukoni kulukuwa na hiyo nafasi ?HIVI KAMA UKIAMBIWA UJE NA VYETI VYOTE KATIKA NAFASI YA NTERNAL AUDITOR NA WEWE ULIJAZA BACHELOR DEGREE TUUU NA UNA CPA , THEN TANGAZO LA KAZI LILITAKA ONLY BACHELOR DEGREE ONLY JE SIKU YA USAILI SI WATAKUTOA KWENYE LIST YAO AU ??
THANK YOU LORD ,,,,,,, NGOJA NIKAJARIBUU UPENYO KAMA NTATOKA .
INDIRECT QUESTION October man USALAMA WA TAIFA .Kwani kivukoni kulukuwa na hiyo nafasi ?
bien .Umepigiwa ?
Nenda na cheti chenye qualification zilizopo kwenye tangazo la kaziHIVI KAMA UKIAMBIWA UJE NA VYETI VYOTE KATIKA NAFASI YA NTERNAL AUDITOR NA WEWE ULIJAZA BACHELOR DEGREE TUUU NA UNA CPA , THEN TANGAZO LA KAZI LILITAKA ONLY BACHELOR DEGREE ONLY JE SIKU YA USAILI SI WATAKUTOA KWENYE LIST YAO AU ??
bienNenda na cheti chenye qualification zilizopo kwenye tangazo la kazi
Eti wadau tuliopeleka cv kwenye kivuko cha Kigamboni TEMESA vipi kuna watu waliopata taarifa yoyote kuhusu mrejesho wa kazi
Emu pata kwanza kazi mzee mbona unapresha kweny mkataba wako utaviona tu ila navyojua Mimi awajamaa uwa wanatoa mkataba wa miezi 3 tu kwa wakazi wa kigamboni anaweza sema pia mahana uwa wanabadilika sana wafanyakazi pale naisi pana dili sana ndio mahan awatoi parmanentEti wadau , hivi hapo kivukoni mishahara yao huwa inakuwaje , na malipo mengine plus contract duration mfano wakatisha na wakaguzi wa tiketi ?
Nilijua mwanangu upo jobHello watanzania ,
Vp wameshaanza kuwaita watu kwa ajili ya oral interview ? Maana written ilifanyika , wiki iliyopita !! So kwa mweny infos tupe neno , aseeee .
Mlivyofanyishwa written mliandika namba au majinaHello watanzania ,
Vp wameshaanza kuwaita watu kwa ajili ya oral interview ? Maana written ilifanyika , wiki iliyopita !! So kwa mweny infos tupe neno , aseeee .
Washafanya oral,Wee hizi taarifa umetoa wapi?Third daughter bado sana , wiki hii inayoanza juma3 ndo wanaweza anza ita wa shortlisted for oral interview .
Sim walipigiwa j5,interview zimefanyika alhamis na ijumaa,your outdated.