EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,189
- 20,636
Kwani Mambosasa anasemaje,pengine atalitolea ufafanuzi atakapokutana na waandishi wa habari
nakumbuka nili pigiwa , simu nkapokea , sasa kwny kuongea mimi ndo naongea , halo habari , haløo habari mara kama zote , sasa cha ajabu , hata sikupata response yoyote ghafla simu ikakata aftr 2 minutes , sasa dah , nkapga kma mara 8 , hata hakunakupokelewa , basi bana .Wenzako wapo kazini tayari na mwisho wa mwezi huu wanatarajia kupiga mshahara wa kwanza
Relax wewenakumbuka nili pigiwa , simu nkapokea , sasa kwny kuongea mimi ndo naongea , halo habari , haløo habari mara kama zote , sasa cha ajabu , hata sikupata response yoyote ghafla simu ikakata aftr 2 minutes , sasa dah , nkapga kma mara 8 , hata hakunakupokelewa , basi bana .
, usikute ulipigiwa na mtu mwingine kwenu huko. Tegemea simu kuanzia jtatu ya kesho, kwani walishamaliza kupanga majina na namba za simu za interviewees.dah powa mkuu , mimi lengo ni kupata uzoefu tu wa interview hata kama nisipopata chansi ya ajira . Bali kusimama mbele ya watu ukijieleza kwa ufasaha , ila powa poa mkuu , asante kwa kunijuza na kunifariji .Relax wewe, usikute ulipigiwa na mtu mwingine kwenu huko. Tegemea simu kuanzia jtatu ya kesho, kwani walishamaliza kupanga majina na namba za simu za interviewees.
Pamoja mandah powa mkuu , mimi lengo ni kupata uzoefu tu wa interview hata kama nisipopata chansi ya ajira . Bali kusimama mbele ya watu ukijieleza kwa ufasaha , ila powa poa mkuu , asante kwa kunijuza na kunifariji .

Wakuu leo , kuna mtu kapigiwa simu na hìi namba 0692416568 ?
leo tarehe 28-11-2019 wameanza kuita kwa kupigia simu watu usaili ni jumamosi ya wiki hiibado hawajatoa mrejesho Mkuu ata mimi nimetuma maombi hapo,tukutane siku ya interview Mkuu nategemea ushirirkiano wako
.bado hawajatoa mrejesho Mkuu ata mimi nimetuma maombi hapo,tukutane siku ya interview Mkuu nategemea ushirirkiano wako
haaa wewe wamekupigia mkuu na kama üjapigiwa inakuwaje ?leo tarehe 28-11-2019 wameanza kuita kwa kupigia simu watu usaili ni jumamosi ya wiki hii
kama hujapigiwa endelea kusubiri maana wameanza kuita leohaaa wewe wamekupigia mkuu na kama üjapigiwa inakuwaje ?
Sawa mkuu ngoja nihakikishe sikai mbali na simu.kama hujapigiwa endelea kusubiri maana wameanza kuita leo
Poa kakaSawa mkuu ngoja nihakikishe sikai mbali na simu.
duh sijapigiwa cm badoleo tarehe 28-11-2019 wameanza kuita kwa kupigia simu watu usaili ni jumamosi ya wiki hii
dah sikai mbali na simu asante kwa taarifaleo tarehe 28-11-2019 wameanza kuita kwa kupigia simu watu usaili ni jumamosi ya wiki hii
Mwanangu vip umepigiwanakumbuka nili pigiwa , simu nkapokea , sasa kwny kuongea mimi ndo naongea , halo habari , haløo habari mara kama zote , sasa cha ajabu , hata sikupata response yoyote ghafla simu ikakata aftr 2 minutes , sasa dah , nkapga kma mara 8 , hata hakunakupokelewa , basi bana .