Lexus SUV
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 5,130
- 6,360
Pole mzee kma unakumbuka nilikwambia pata kwanza ajira hulize mshahara ila ikitokea nafci omba tena utapta tu
Sema,Mambo ya kushikana Mkono yamefanyika tofauti na Nilivyokua najua,watu interview tuu walitoka kabla ya mda,walikua washaahidiwa Kaz kitambo,so walikuja kiushaidi
We ulibatika kufanyaSema,Mambo ya kushikana Mkono yamefanyika tofauti na Nilivyokua najua,watu interview tuu walitoka kabla ya mda,walikua washaahidiwa Kaz kitambo,so walikuja kiushaidi
Nimefanya,sema taarifa za kuitwa oral nimezipata kwa mtu ambaye alikua Ana mtu wa kumshika mkonoWe ulibatika kufanya
Kwaiyo umepta au ujapta