Kivazi na miguu!!

hahahahha,miguu wengi hatuna ila tunavaa vimini,huyo mwanaume naye ana kasumba tu chaaa!
my dia! umewahi kutana na mwanamke mwenzio anayekufa na fashion ukaona aibu mwenyewe? sio lazima mtu akuambie au kila fashion inayotoka nawe uvae, nyingine zinatufanya vituko njiani jamani!
 
wanawake bwana, hawaeleweki kabisa, unaweza kuongea nae vizuri. very polite language, lakini ugomvi utakaotoka hapo ukawa ni balaa.
..Niliwahi kumwambia wangu kuwa kuna mtindo fulani wa utengenezaji wa nywele zake huwa haumpendezi hivyo nikamshauri aweke mtindo fulani hivi badala yake......Eh!! hapakukalika hapo mahali jamaa yangu....hawa viumbe sijui vipi bana!
 
he!! si amwambie kuwa ukivaa hvyo hupendezi........hutoki chicha!!

simple, clear and to the point.

mi mtu wangu akiniambia hivo ntafurahia kweli aisee kuliko nitoke nionekane kituko huko mbele!!

btw mnaosema eti alipomuoa hakuona hizo kasoro mna maana gani??? kwamba mpaka ufikie kumuoa mtu basi she is perfect hata hana kasoro?? c'mon people!! Kila mtu anajua lichenguka na nnn kwa mtu wake ukiachilia ukweli kwamba huyo mwenza aweza kuwa tu na kasoro yake ila kwake haikuwa na kipaumbele kwenye kuchagua.
 
..Niliwahi kumwambia wangu kuwa kuna mtindo fulani wa utengenezaji wa nywele zake huwa haumpendezi hivyo nikamshauri aweke mtindo fulani hivi badala yake......Eh!! hapakukalika hapo mahali jamaa yangu....hawa viumbe sijui vipi bana!

ni tabia tu ya mtu Sajenti, wengine hawapendi kukosolewa, hata kazini!! ukimrekebisha ananuna!!! I think it has nothing to do with being a woman!!!

binafsi napenda mtu anikosoe na kunisahihisha ili nijirekebishe na kusonga mbele!!! Infact humu ndani kunamtu huwa ananisahihisha sana juu ya uchaguzi wa maneno ninyotumia kwenye uandishi wangu!! Imenisaidia sana kusema ukweli na I thank him all the way!!
 
Mwambie wife anafanya kitu ambacho yuko confortable nacho..akisubiri miguu inenepe hiyo siku haitafika.
Lakini pia kama jamaa anaona ni myembamba sana si amwambie hata kiutani utani

Let me try:

"Duh, Aisee Dia yaani hizo pedo unazovaa na huto tumiguu twako...Tofauti kabisa yaani! Usivae tena Bwana, unajichora tu!!!"\

mmmmm, I dont think so. :pound::pound:
 
Tuwafanye wapenzi wetu kama marafiki zetu wa karibu hii husaidia sana kutuwezesha kuongea nao kirafiki zaidi na itakuwa rahisi kuwaeleza pale utakapoona mwenzako anafanya usilolitaka kama hilo la mavazi.
 
ebu acheni mambo yenu miguu kampa mungu na uvaaji wa vimini ndo kunampa raha sa shda ipo wap?
mungu kamapa mironjo thats gud akuna ahaja ya kumtani waka kumwambi direct leav her alone as long as havunji sheria na yeye akisema ilo pua lako kubwa silipendi unapumua km nguruwe utajifunika kiremba?wakati unamchumbia haukumwona miguu au alikuwa anavaa baibui?
im kidng bwana u jjust tel her .so simpo m nt happpy wth ya dresssng code i wl like u to wea .....a..............b........q then next day u pick her to shop kumnunulia za mfano apo case closed na akigoma apo ujue mkeo mkaidi!!!!!
pole kaka..............mmh lakin b shost atakuwa na roho ngumu eeh yan vimiguu njiti stil analilia vimin?????
mmh hatari
 
huyo mwanamme nae! mwenziwe anajiamini anavaa vile anavyopenda yeye inamuuma nini?

tell him to let the girl be Bwana ....................kwani huyo mkewe hajijui kama ana miguu membamba?! lakini mwenyewe ameridhika na anavaa mini vile vile. uzuri ni kujiamini tu asikuambie mtu.

ukiwa na miguu membamba utaambiwa 'wooooow u look like a model' hasa kwa nchi za nje, kwa hiyo shega tu.

wenye miguu minene mtajijuuuuuuuuuu :p
 
Mwambie wife anafanya kitu ambacho yuko confortable nacho..akisubiri miguu inenepe hiyo siku haitafika.
Lakini pia kama jamaa anaona ni myembamba sana si amwambie hata kiutani utani

hivi kwani huko uchumbani alikuwa havai vimino na vipedo?....hakuona kuanzia huko?
 
G umenikumbusha my best friend (twin) RIP Swide.....
alikuwa mrembo ile mbaya, miguu sasa hamna kitu...............alikuwa anapiga min skirts kwa sana eti anasema nikisubiri inenepe ndo nivae vimini, will that happen??? lol!!
 
nyamayao mimi hata wanaume wengine siwaelewi kabisa...................atakuoa kisha atataka akubadilishe kiasi cha kuwa ukijitazama kioni sijue unamtizama nani!
sasa uliniolea nini?@@@@@

mimi kujibadili kwa mwanamme jamani bado akku!
 
lakini kiukweli.........let sm fashions pass you by, si lazima kila nguo na fashoni uvae bana!!!
 
huyo mwanamme nae! mwenziwe anajiamini anavaa vile anavyopenda yeye inamuuma nini?

tell him to let the girl be Bwana ....................kwani huyo mkewe hajijui kama ana miguu membamba?! lakini mwenyewe ameridhika na anavaa mini vile vile. uzuri ni kujiamini tu asikuambie mtu.

ukiwa na miguu membamba utaambiwa 'wooooow u look like a model' hasa kwa nchi za nje, kwa hiyo shega tu.

wenye miguu minene mtajijuuuuuuuuuu :p

haa nimecheka sana, kuna mfanyakazi mwenzangu hapa ana shape cjui niseme ya aina gani, lakini hayo mapigo yake utamtaka sasa?...yaani akikuvalia tshirt na pedo utashaa, na ka pedo hakabani miguu kanapwaya, hapo usoni ni baby face, mwenyewe anajijua lakini anakuambia cmkosoi muumba na fashion naenda nayo kama ifuatavyo...subiri cku akuvalie kimini...haaa, mie nampendea tu alivyo free.
 
when it comes to uchaguzi wa mavazi kwangu mimi wat matters ni comfortability, confidence and decency basi.
 
nyamayao mimi hata wanaume wengine siwaelewi kabisa...................atakuoa kisha atataka akubadilishe kiasi cha kuwa ukijitazama kioni sijue unamtizama nani!
sasa uliniolea nini?@@@@@

mimi kujibadili kwa mwanamme jamani bado akku!

ndio hapo sasa, angemuanzishia kuaznia uchumbani hayo mambo ingekuwa heri, ndio wale wanaogopa hata kuongozana na wake zao kwa visababu kama hivi, umejipigia kimino kumbe mr hayupo comfortable unashangaa unaambiwa tukutane pale dukani kwa nanii kuna mahali napitia mara moja.
 
lakini kiukweli.........let sm fashions pass you by, si lazima kila nguo na fashoni uvae bana!!!

hata mie kuna fashion zinanipita kabisa kabisa, lakini pedo na mini ni vitu ambavyo vya kawaida sana, mdada yeye yupo sawa na jinc alivyo, sasa avae suruali/ma sketi marefu kila cku jamani....cku moja moja anavaa uso wa mbuzi anapiga pedo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom