kivaz cha leo??

hahahahahaha. Mi cjavaa hvyo. Kuna jamaa angu m1 hvi ni leader wa chama flan cha siasa kikongwe ndo alvaa hvyo mara ya kwanza wakat anatia mguu Dar toka Mkoani. Leo nikimkumbusha anakataa katakata. Hahaha.

aisee ningemkimbia ubungo...uvaaji huo kama mpiga tarumbeta...hapana!
 
niko mjini Nicas Mtei...nisubiri hapo screen saver hapo FAIRY DELIGHT...unapajua?au ndo umefika leo mcty?

Hahahaha. Ikfka jion ndo ntakuwa pale screen saver Fairy Delight. Bdo unahangaika mjini na Bahasha zako zkiwa na CV na vyeti?
 
Last edited by a moderator:
Hapa nilipo beibe nasty nipo kitandani nimevaa chupi nyeusiiiiiiii kama mafuta ya bunduki.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha. Ikfka jion ndo ntakuwa pale screen saver Fairy Delight. Bdo unahangaika mjini na Bahasha zako zkiwa na CV na vyeti?

ntakutafta...ila sio uko huko rombo mashati...unazungumzia fairy delight...ukifika hapo wakupe urojo, wana urojo mtamu sana...tena buku tu!
 
hahahaha. Halafu ni diwani wa huko kwao. Ila cku hzi anatupia kaunda suti na suti nyngne.

walau umemtoa tongo tongo...mtaftie na jeans mpauko!...weekend awe anatinga....
 
@beibi nasty, nakatiza tu kitaa wameanza kupigana
 
ntakutafta...ila sio uko huko rombo mashati...unazungumzia fairy delight...ukifika hapo wakupe urojo, wana urojo mtamu sana...tena buku tu!

huwa nakula urojo kwa Amijei Makumbusho. Pale ni chai tu au juice.
 
walau umemtoa tongo tongo...mtaftie na jeans mpauko!...weekend awe anatinga....

na wewe umekumbuka kvaz ulchokvaa kpnd kile unaingia daslam? Teh teh teh. Sisemi.
 
na wewe umekumbuka kvaz ulchokvaa kpnd kile unaingia daslam? Teh teh teh. Sisemi.

mmmhuuu... Nicas Mtei na mm nilitisha...jeans SAVCO!unaikumbuka..?rangi njano sio njano...gold gold hivi...na shati langu bahama!...
 
Last edited by a moderator:
beibe nasty, uschelewe mtaani pamekuwa darfur. Nimerud ndani sahv nina raba ya blue, suruali ya kitamba light gree [imefunika kiatu], tshirt nyekundu. Na miwani moja nyeusi. Kichwani nimenyoa panki[unaifaham huu mtindo wewe??]
 
Last edited by a moderator:
...hapa ni mwendo wa Tshirt na Jeans...tena Jeans...Black..Tshirt white...
 
beibe nasty, uschelewe mtaani pamekuwa darfur. Nimerud ndani sahv nina raba ya blue, suruali ya kitamba light gree [imefunika kiatu], tshirt nyekundu. Na miwani moja nyeusi. Kichwani nimenyoa panki[unaifaham huu mtindo wewe??]

Hahaahahhah babaa ya muziki hiyo heheehe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…