Kiungo gani cha mwili...

Kiungo gani cha mwili...

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Padre Aliwauliza Waumini:-
Ni Kiungo Gani Cha Mwili Kilichojificha Na Kina
Wingi Wa Unyevu Unyevu, Kinaweza Kufanya
Ndoa Idumu Au Kuvunjika?

Waumini Wakapiga Kimya Huku Wakiinamisha
Vichwa Vyao Chini!!!

Padre Akasema, Hebu Inueni Hayo Mabichwa
Yenu Juu Niwaonyeshe Hicho Kiungo, Ni
ULIMI!!!
Nyie Mlifikiri Nini? Yaone Yanawaza Ngono Tu
Shwain!!!!!
 
ndo inayorun dunia jamani mpaka kufikia huko kujua ni ulimi ni ishu. lol
 
mimi mwenyewe nilijua ni pa.....................................................pa.
 
Back
Top Bottom