kiumbe gani unayemuogopa zaidi hapa duniani?

kiumbe gani unayemuogopa zaidi hapa duniani?

haukiogopi cha kibweka unakimesa chote chete kiking'ang'ania humo ndani.

Hapa sio mahala pake....
Twende kuleeeeeeee.......JLW, Nikakupe Majibu ya Maswali yako.
 
Binadamu ndio mnyama ninaemuogopa zaidi
 
Kuna kauli iko hivi sikuhizi .....'''''binadambu kawa mbaya kuliko mnyama''''......kwa mantiki hiyo nasema ni binadamu!
 
Back
Top Bottom