Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,218
wana jf. duniani kuna wanyama,ndege na wa dudu kati ya viumbe wote mimi nawamuogopa nyoka na tandu huwa nikiwaona na mwili husisimuka iwe live au kwenye midia.infact tumeumbwa tofauti na hofu . mnyama gani hatari kabisa unaye muogopa zaidi?.....