kiumbe gani unayemuogopa zaidi hapa duniani?

kiumbe gani unayemuogopa zaidi hapa duniani?

wana jf. duniani kuna wanyama,ndege na wa dudu kati ya viumbe wote mimi nawamuogopa nyoka na tandu huwa nikiwaona na mwili husisimuka iwe live au kwenye midia.infact tumeumbwa tofauti na hofu . mnyama gani hatari kabisa unaye muogopa zaidi?.....

Binadamu
 
Tuache masikhala binadam wa leo anatisha............ loh!
 
Back
Top Bottom