Jamani haya yanatoka Moyoni hadi nimefikia hatua nataka kuoa,Lakini sipend tena sipend kuona ndugu wa Mwanamke kwangu uwa nakereka mana nahtaj nafasi nivinjari na Mke wangu,
Jamani sipend na siwatak ndugu wa Mke wangu kwangu...
Mi nilidhani ndugu wote wawe wako au wa mkeo. Kumbe wa mkeo tu! Sasa hao ndugu zako wakijazana hapo kwako utajivinjari vipi na huyo mkeo? Mi Nadhani una matatizo makubwa sana. Nenda kamuone msaikolojia akusaidie. Lakini jiulize na mkeo Alitoa msimamo Kama huo hiyo itakuwa nyumba ya namna gani?
Jamani haya yanatoka Moyoni hadi nimefikia hatua nataka kuoa,Lakini sipend tena sipend kuona ndugu wa Mwanamke kwangu uwa nakereka mana nahtaj nafasi nivinjari na Mke wangu,
Jamani sipend na siwatak ndugu wa Mke wangu kwangu...
Tatizo lako ni ndugu za mwanamke tu, je ndugu zako wewe huwaoni kero??? Huyo binti/mama/mwanamke utakayemuoa ana kazi!!Jamani haya yanatoka Moyoni hadi nimefikia hatua nataka kuoa,Lakini sipend tena sipend kuona ndugu wa Mwanamke kwangu uwa nakereka mana nahtaj nafasi nivinjari na Mke wangu,
Jamani sipend na siwatak ndugu wa Mke wangu kwangu...
mi napenda maana hii nyumba ni kubwa mno ( mansion) panaboa kukaa pekeyako.
wewe lazima usipende sababu unakaa chumba kimoja
Jamani haya yanatoka Moyoni hadi nimefikia hatua nataka kuoa,Lakini sipend tena sipend kuona ndugu wa Mwanamke kwangu uwa nakereka mana nahtaj nafasi nivinjari na Mke wangu,
Jamani sipend na siwatak ndugu wa Mke wangu kwangu...
Huyu dogo ana matatizo zaidi ya unavyofikiria, angalia kwenye post za nyuma, kwanza kasema ameoa lakini ana matatizo anaomba msaada anaaibika mbele za mkewe sababu alipiga sana pnyt utotoni, baadaye akasema yeye akioa hataki mkewe afanye kazi kamwe, leo anasema akiowa hataki ndugu wa mkewe nyumbani kwake!!!!!!!!!!:A S-confused1::A S-confused1:
Namshauri akavute bangi kwanza akili itulie, ajitambue!:help: