Kiukweli sipend ndugu nyumbani kwangu

Kiukweli sipend ndugu nyumbani kwangu

Jamani haya yanatoka Moyoni hadi nimefikia hatua nataka kuoa,Lakini sipend tena sipend kuona ndugu wa Mwanamke kwangu uwa nakereka mana nahtaj nafasi nivinjari na Mke wangu,
Jamani sipend na siwatak ndugu wa Mke wangu kwangu...
8

Lakini ndugu wako sawa...!!
 
Jamani haya yanatoka Moyoni hadi nimefikia hatua nataka kuoa,Lakini sipend tena sipend kuona ndugu wa Mwanamke kwangu uwa nakereka mana nahtaj nafasi nivinjari na Mke wangu,
Jamani sipend na siwatak ndugu wa Mke wangu kwangu...
Binadamu wote wana ndugu zao isipokuwa wanyama. Sasa we mwenzetu kama hutaki ndugu chagua moja kati ya mawili hapo juu unalo ona hutapata bugdha.
 
Heri wenye moyo safi maana watamwona Mungu.
 
Babaticha waweza enjoy na mkeo hata mkiwa na ndugu! mimi nimeanza kuishi na ndugu na ndugu mwaka wa kwanza wa ndoa mpaka leo, but sijawahi kosa muda wa kuvinjari na MPENZI wangu. tunafurahiana kweli! life is how you make it. ninafurahi sana nikiwaona wanatoka kwangu wanakuwa na maisha yao.
 
Jamani haya yanatoka Moyoni hadi nimefikia hatua nataka kuoa,Lakini sipend tena sipend kuona ndugu wa Mwanamke kwangu uwa nakereka mana nahtaj nafasi nivinjari na Mke wangu,
Jamani sipend na siwatak ndugu wa Mke wangu kwangu...

Kuna sababu nyingi zinaweza kuwa zimechangia wewe kutamka hivi,

inawezekana kwa sasa unajitosheleza kwa kila kitu hivyo unahisi hauitaji ndugu.

labda umekulia maisha magumu sana sasa una hasira na maisha,hivyo uwepo wa ndugu ni kama inakuwa kikwazo ktk malengo uliyojiwekea.

lakini si sahihi kubagua ndugu wala kuchukia kwa rangi yoyote.
 
Asiyempenda mwanadamu mwenzie hata kumpenda Mungu hakupo ndani yake upendo huleta baraka ndani ya Nyumba.....
 
Jamani haya yanatoka
Moyoni hadi nimefikia hatua nataka kuoa,Lakini sipend tena sipend kuona
ndugu wa Mwanamke kwangu uwa nakereka mana nahtaj nafasi nivinjari na
Mke wangu,
Jamani sipend na siwatak ndugu wa Mke wangu kwangu...

ulipokuwa unakaa kwa shemeji yako mme wa dada yako ,angekuwa na msimamo kama wa kwako wewe ungekuwaje
 
Nakuomba usioe kwani ndoa yako utaiweka rehani. Labda uoe mwanamke chizi.
 
Ujana maji ya moto.
Lakini kunaTaarifa njema, nayo ni kwamba siku moja maji hayo yatapoa tu!

Hao ndugu wa mke kuna siku utawatafuta wakuanike kwenye jua, na jioni wakurudishe ndani kwenye kigodoro chako.

mkuu yani nashindwa hata kukoment,

ungepunguza ukali wa maneno:tinfoil3:
 
Umekuwa jini una matatizo makubwa huwezi kukataa ndugu wasije nyumbani kwako ila kila kitu kiwe na mipaka.
 
Jamani haya yanatoka Moyoni hadi nimefikia hatua nataka kuoa,Lakini sipend tena sipend kuona ndugu wa Mwanamke kwangu uwa nakereka mana nahtaj nafasi nivinjari na Mke wangu,
Jamani sipend na siwatak ndugu wa Mke wangu kwangu...

Hupendi ndugu wa mke wako kwako sio!? nakuombea upate mke asiyependa ndugu zako kwako hapo ndo akili itakukaa sawa..
 
ulipokuwa unakaa kwa shemeji yako mme wa dada yako ,angekuwa na msimamo kama wa kwako wewe ungekuwaje

Hebu mwambie... tena alikuwa anapenda kujiachia kwenye masofa huku ameshikilia remote zote...
 
Kaishi kaburini kusiko na usumbufu

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
Huyu dogo ana matatizo zaidi ya unavyofikiria, angalia kwenye post za nyuma, kwanza kasema ameoa lakini ana matatizo anaomba msaada anaaibika mbele za mkewe sababu alipiga sana pnyt utotoni, baadaye akasema yeye akioa hataki mkewe afanye kazi kamwe, leo anasema akiowa hataki ndugu wa mkewe nyumbani kwake!!!!!!!!!!:A S-confused1::A S-confused1:

Namshauri akavute bangi kwanza akili itulie, ajitambue!:help:

Post ya mwisho atajatuambia ninahamu ya kujinyonga nyie subirini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom