Ht mm jamani, hv huwa hakuna size za watoto. Mm ni she ila napenda sana mtoto wangu awe nazo. Huku mwanza nshatafuta sana hd nimechoka.Safari boot ndio my favorite!!
safari boots ndo zikoje? mara nyingi maduka ya South Africa wana vitu vingi vya watoto ambavyo bongo hakuna maybe naweza kukuangaliziaHt mm jamani, hv huwa hakuna size za watoto. Mm ni she ila napenda sana mtoto wangu awe nazo. Huku mwanza nshatafuta sana hd nimechoka.
Mkuu mambo gani ya kutamanisha buti kali wakati unajua mwezi mbaya huu?Napenda sana kuvaa buti,
Yani huwa najisikia huru sana kuliko hata nikivaa Sneakers,
Naweza nikavalia suruali za aina nyingi bila kuleta tatizo lolote, kuanzia jeans hadi kitambaa.
Hivi sehemu gani wanauza Buti za maana kuanzia Chelsea boots, Ankle Boots (Travolta zilizopanda), Desert Boot (Ubuyu), Work Boot ????
View attachment 442635
Hii inaitwa Chukka Boot wengi wetu mtaaani tunaiita Ubuyu, imetengenezwa na Newman.
Yani nataka ninunue buti kubana matumizi kwasababu zinakaa muda sana kuliko sneakers.
Mkuu mambo gani ya kutamanisha buti kali wakati unajua mwezi mbaya huu?
Vinapatikana wapi hivi mkuu na garama yake ni Tsh kiasi gani?
Vinapatikana wapi hivi mkuu na garama yake ni Tsh kiasi gani?
Awamu hii mbinu zote za kubana matumizi zitawekwa adharani
View attachment 449547. Made in Tanzania. Mwaka wa sita sasa napigia meshe ngumu
Hahaha mkuu nami nimecheka sana unavyozielezea buti ila ulivyosema kubana matumizi tu nikakumbuka namba 5 ya magogoniHaahaaaaa,
Mkuu umenichekesha sana leo.
Mwanangu ni buti tu, maana hakuna namna tena.
Kama sikosei ni Arusha. Nilinunua Dodoma kwenye duka la vifaa vya ngozi. Nilinunua hicho kiatu na mkanda wa suruali.Vimetengenezwa wapi hivi mkuu???
Kwanini wasivifanyie matangazo makubwa vikanunuliwa??