Kiukweli napenda sana buti: Unavalia suruali nyingi

Ht mm jamani, hv huwa hakuna size za watoto. Mm ni she ila napenda sana mtoto wangu awe nazo. Huku mwanza nshatafuta sana hd nimechoka.
safari boots ndo zikoje? mara nyingi maduka ya South Africa wana vitu vingi vya watoto ambavyo bongo hakuna maybe naweza kukuangalizia
 
1482480533428.jpg
. Made in Tanzania. Mwaka wa sita sasa napigia meshe ngumu
 
Napenda sana kuvaa buti,
Yani huwa najisikia huru sana kuliko hata nikivaa Sneakers,
Naweza nikavalia suruali za aina nyingi bila kuleta tatizo lolote, kuanzia jeans hadi kitambaa.
Hivi sehemu gani wanauza Buti za maana kuanzia Chelsea boots, Ankle Boots (Travolta zilizopanda), Desert Boot (Ubuyu), Work Boot ????

View attachment 442635

Hii inaitwa Chukka Boot wengi wetu mtaaani tunaiita Ubuyu, imetengenezwa na Newman.
Yani nataka ninunue buti kubana matumizi kwasababu zinakaa muda sana kuliko sneakers.
Mkuu mambo gani ya kutamanisha buti kali wakati unajua mwezi mbaya huu?:D:D
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom